Vipodozi Haramu: Basi la Tanzania lakamatwa Kitwe

Ntate Mogolo

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2016
Posts
410
Reaction score
711
Jana mchana niliona basi la Taqwa likiwa limekamatwa na maafisa wa ZRA Zambia Revenue Authorty hapa Kitwe. Walishusha viroba vingi sana toka ndani ya basi na kwenye buti. Baadhi ya wasafiri, akinadada kama wanne ama watano walionekana kushikiliwa kwa mahojiano na maafisa wa ZRA. Huenda walikuwa ndo wamiliki wa hivyo viroba. Picha nilichukua kwa mbali sana kuogopa mkono wa dola.

Basi hili lilikuwa likitokea Lubumbashi DR Congo kwenda Dar Tanzania. Nilichokigundua, kuna biashara kubwa sana haramu ya vipodozi vilivyopigwa marufuku, vikitokea DR Congo kuja Zambia na Vingine kuvyushwa kuelekea Tanzania. Kwani mzigo uliokuwa kwenye basi ni mkubwa kuzidi hata idadi ya abiria.

Kwa udadisi tu, mzigo huu, kama ukiweza kupenya ndani ya Zambia, huenda kushushiwa Nakonde usiku kabla basi halijakaguliwa kuvuka mpaka kuingia Tunduma. Hapo maaskari wa Nakonde kwa kushirikiana mtandao wa wafanyabiashara haramu huwatumia vijana wa baiskeli kuvusha mzigo kwa upande wa Tanzania. Kama umewahi kufika Tunduma, utaona jinsi muingiliano uliopo kati ya watu wa Nakonde na Tunduma.

TFDA kazi ipo, vipodozi haramu ni biashara kubwa kutoka DR Congo, tena inaweza kuwa inafanywa na watu wenye mitaji mikubwa kuweza kuepa vikwazo njiani.

Hadi ninaondoka eneo la tukio saa 11 jioni basi la Taqwa lilikuwa bado lipo ZRA Kitwe.
 
Tuma picha ya bus na mzigo tukuamini...!!!na picha yako pia ili tujue kama na wewe unatumia hivyo vipodozi unavyoviita haramu wakati kwa wenzio si haramu.kama wewe huli nguruwe ni wewe tu,wapo wanaokula tena na bia wanashushia.harare mkubwa weee
 
Ukilala njaa usiku, kumbe ndio huwa kunakuwa na mawazo ya hivyo[emoji41][emoji41]
 
Hivyo viroba vyeupe ni vitenge Zambia wana operation ya kukamata Mali za Transit ambazo hazijalipiwa bond kupita..upo mbali umejuaje kilichopo ndani ya viroba Mkuu.
 
Hivi Kwa akili yako Muarabu atoe basi Tanzania alipeleke Congo, Zimbabwe, Malawi,Zambia,Rwanda na kwingineko ategemee abiria tu? Sasa Kwa taarifa yako zile basi zinalipa kwenye mizigo kuliko abiria..basi linatoka Lubumbashi na abiria hawazidi ishirini ila kwenye buti huo mzigo ni kufuru..sio Kwa kwamba watu wa border hawajui..ndio ulaji wao..
 
Jana mchana niliona basi la Taqwa likiwa limekamatwa na maafisa wa ZRA Zambia Revenue Authorty hapa Kitwe. Walishusha viroba vingi sana toka ndani ya basi na kwenye buti. Baadhi ya wasafiri, akinadada kama wanne ama watano walionekana kushikiliwa kwa mahojiano na maafisa wa ZRA. Huenda walikuwa ndo wamiliki wa hivyo viroba. Picha nilichukua kwa mbali sana kuogopa mkono wa dola.

Basi hili lilikuwa likitokea Lubumbashi DR Congo kwenda Dar Tanzania. Nilichokigundua, kuna biashara kubwa sana haramu ya vipodozi vilivyopigwa marufuku, vikitokea DR Congo kuja Zambia na Vingine kuvyushwa kuelekea Tanzania. Kwani mzigo uliokuwa kwenye basi ni mkubwa kuzidi hata idadi ya abiria.

Kwa udadisi tu, mzigo huu, kama ukiweza kupenya ndani ya Zambia, huenda kushushiwa Nakonde usiku kabla basi halijakaguliwa kuvuka mpaka kuingia Tunduma. Hapo maaskari wa Nakonde kwa kushirikiana mtandao wa wafanyabiashara haramu huwatumia vijana wa baiskeli kuvusha mzigo kwa upande wa Tanzania. Kama umewahi kufika Tunduma, utaona jinsi muingiliano uliopo kati ya watu wa Nakonde na Tunduma.

TFDA kazi ipo, vipodozi haramu ni biashara kubwa kutoka DR Congo, tena inaweza kuwa inafanywa na watu wenye mitaji mikubwa kuweza kuepa vikwazo njiani.

Hadi ninaondoka eneo la tukio saa 11 jioni basi la Taqwa lilikuwa bado lipo ZRA Kitwe.
.
Nani kakutuma kitwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Kwa akili yako Muarabu atoe basi Tanzania alipeleke Congo, Zimbabwe, Malawi,Zambia,Rwanda na kwingineko ategemee abiria tu? Sasa Kwa taarifa yako zile basi zinalipa kwenye mizigo kuliko abiria..basi linatoka Lubumbashi na abiria hawazidi ishirini ila kwenye buti huo mzigo ni kufuru..sio Kwa kwamba watu wa border hawajui..ndio ulaji wao..

Umesema kweli! Tunaziona sana huku. Zinabeba mzigo mkubwa sana. Wakati mwingine unakuta abiria hawafiki hata kumi. Ila mzigo ndo umekalia siti.
 
Acha umbea wewe, kwani wenzako wakivusha nawewe si uvushe, umbea tu. Nyie ndio msiotaka kuona Meli za wenzenu zinaelea.Mfyuuuuuuu.
 
Hivi mnavyowakataza hawa wadada vipodozi haramu,watatumia nini ?
Watu wanataka kung'ara wavutie wateja nyie mnawazibia ridhki ?
 
Back
Top Bottom