Matokeo ya kutokufanyiwa Tohara: Mtoto wa kike miaka 12 nayeye anataka azalishwe!

Ntate Mogolo

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
403
677
Mkataa kwao ni mtumwa!
Wanajamvi, jamii zetu za kale zilikuwa na mila na desturi nzuri ambazo zilitumika katika kulinda na kusimamia maadili ya watu wake. Lakini baada ya wakoloni kututawala, walitufanya tuzichukie mila na desturi za mababu zetu kwa kupandikiza elimu ya kikoloni ambayo inazidi kututafuna hadi hii leo.

Kwa wiki nzima sasa, tumekuwa na mjadala mkali kuhusu watoto wa shule wakike wanaopata ujauzito wakiwa shuleni. Mengi yanaendelea kusemwa juu yao, na kila upande unajaribu kutetea hoja yake.

Lakini kiini cha haya yote, inatokana na kumomonyoka kwa maadili katika jamii zetu ambako kumechangiwa na kupuuza mila na desturi zilizokuwepo katika jamii zetu za jadi. Haiingii akilini, baba na familia yako, mkeo ni mjamzito hapo nyumbani, halafu binti yako anayesoma darasa la shule ya msingi au sekondari na yeye anarudi nyumbani akiwa na ujauzito sawa na wa mama yake, usiokuwa na maelezo ya kutosha. Kwa jamii tuliyonayo, inataka kulifanya hili kuwa ni jambo la kawaida tena la kishujaa...ukombozi wa mwanamke!

Jamii yetu ya kale waliliona hilo na walijua namna ya kukabiliana na hali kama hiyo! Watoto wa kike ni dhaifu sana kwenye masuala yote yahusuyo kujamiiana! Mwanaume akimtaka mtoto yeyote wa kike, anampata tu tena bila usumbufu wowote. Hii inatokana na jinsi maumbile yao yalivyo. Hawajui kukataa, na hawawezi kukataa..! Hivyo ndivyo walivyo. Maumbile yao!

Udhaifu wa watoto wakike haujaanza leo. Umekuwepo toka maisha ya binadam wa kwanza. Hivyo, jamii ya mababu ya kale ililiona hili! Ili kuwadhibiti watoto wakike na kuwaondolea udhaifu mbele ya mwanaume, jamii ilianzisha tohara kwa watoto wakike na wakiume.

Kwa watoto wakike, ngariba alikata sehemu ya juu ya *kinembe*. Hii ndiyo sehemu inayochochea mtoto wakike kupenda kufanya ngono. Na kweli walifanikiwa sana kwa hili. Katika jamii zinazofanya tohara kwa watoto wakike hakuna binti anayejirahisi rahisi kama ambao hawajafanyiwa tohara!

Leo hii tohara kwa mtoto wakike inapigwa vita na watu ambao wamezaliwa na mama zao waliofanyiwa tohara! Jeuri hii wanaipata wapi? Mkoloni yuleyule, ndio mfadhili wa vita dhidi ya tohara kwa watoto wakike!

Jamii inapaswa kuangalia upya njia nzuri za kiafya ambazo zinaweza kutumika katika kuirejesha tohara kwa watoto wakike. Itawasaidia kuepukana na ngono zinazopelekea mimba na maambukizi mengine ya magonjwa ya zinaa.

Wanajamvi nawasilisha.

UPDATE:
Kwa nini wasichana wadogo Uingereza wanafanyiwa upasuaji uke wao
Wasichana wa umri mdogo nchini Uingereza wanafanyiwa upasuaji kurekebisha sehemu zao za uzazi kwa sababu hawapendezwi na muonekano wake, kipindi cha runinga cha Victoria Derbyshire kimefahamishwa.

Baadhi ya wasichana wanaanza kuitisha upasuaji huo (ukeketaji) wakiwa na miaka tisa pekee.

Dkt Naomi Crouch, ambaye ni mmoja wa wataalamu bingwa wa masuala ya uzazi, amesema ana wasiwasi kwamba wengi wa madaktari wa magonjwa ya kawaida wanaripoti visa vya wasichana ambao hawajabalehe wanaotaka kufanyiwa upasuaji (kukeketwa) kwenye uke wao.

Upasuaji huo ambao kwa Kiingereza hufahamika kama Labiaplasty, huhusisha kupunguzwa au kubadilishwa umbo kwa midomo ya uke wao. (Ukeketaji)
Huduma ya Taifa ya Hospitali England (NHS) hupendekeza kwamba wasichana wasifanyiwe upasuaji huo hadi watimize miaka 18.

Lakini mwaka 2015-16, NHS wanasema wasichana zaidi ya 200 wa umri wa chini ya miaka 18 walifanyiwa upasuaji huo.
Wasichana zaidi ya 150 kati yao walikuwa wa chini ya miaka 15.

Dkt Crouch, ambaye ni mwenyekiti wa shirika la masuala ya uzazi na vijana wanaobalehe Uingereza anasema katika kipindi ambacho amefanyia kazi NHS, hakuwahi kukumbana na msichana ambaye alihisi kwamba anahitaji upasuaji huo.

"Wasichana wakati mwingine wataanza kusema, 'Naichukia, naomba iondolewe', na kwa msichana kuhusu hivyo kuhusu sehemu yake ya mwili - hasa sehemu nyeti hivyo kama ya uzazi - ni jambo la kusikitisha."

Kisa cha Anna
Anna - si jina lake halisi - alitaka kufanyiwa upasuaji wa labiaplasty akiwa na miaka 14.

"Nilipata wazo kutoka kwingine kwamba uke wangu haukuwa umekaa vyema vya kutosha au haukuwa wakupendeza na nilitaka upunguzwe.

"Watu wengi wa karibu ambao nilijumuika nao walikuwa wanatazama video za ngono na nilipata wazo kwamba uke unafaa kuwa umelainika na hakufai kuwa na kitu kinachojitokeza nje.

"Nilifikilia kwamba hivyo ndivyo kila mtu alivyokuwa, kwa sababu sikuwa nimeona picha za watu wa kawaida kabla ya hapo.

"Nakumbuka nikifikiria, 'Iwapo kuna upasuaji wa kurekebisha hili, basi ni wazi kwamba si mimi pekee ninaotaka kufanyiwa upasuaji, na labda halitakuwa jambo kubwa sana.'"

Baadaye alibadili msimamo wake na kuamua kutofanyiwa upasuaji.
"Sasa hivi, nafurahi sana kwamba sikufanyiwa upasuaji. Siuhitaji. Uke wangu ni wa kawaida. Asilimia mia kwa mia kawaida."

Paquita de Zulueta, daktari wa kawaida aliyefanya kazi kwa zaidi ya miaka 30, anasema ni miaka ya karibuni tu ambapo wasichana wameanza kwenda kwake wakianza kulalamika kuhusu muonekano wa uke wao.

"Nawaona wasichana wa miaka 11, 12, 13 ambao wanafikiria uke wao una tatizo - kwamba labda una umbo lisilo sahihi, ni mnene au mdogo sana, na wanakerwa sana nao.

"Wengi wanaamini kwamba midomo ya ndani ya uke wao haifai kuonekana, wanadhani uke unafaa kuwa kama mwanasesere au Barbie hivi, lakini uhalisia ni kwamba kuna tofauti kubwa sana katika muonekano wa uke wa wanawake. Ni kawaida kwa midomo ya ndani kujitokeza nje."

Paquita de Zulueta anasema baadhi ya wasichana huongeza chumvi tatizo lao ndipo wafanyiwe upasuaji

Analaumu picha ambazo si za uhalisia ambazo wasichana wengi wanakutana nazo kupitia video na picha chafu za ngono na pia kwenye mitandao ya kijamii.

"Hakuna elimu na uhamasisho wa kutosha na elimu hii inafaa kuanza mapema sana wakiwa wadogo, kuwaeleza wasichana kwamba kuna tofauti kubwa sana katika uke wa wanawake mbalimbali na - jinsi tulivyo tofauti kwa nyuso zetu - sote tuna tofauti huko kwenye sehemu nyeti, na hilo ni sawa."

NHS wanasema hawakufanya upasuaji huo kwa sababu za urembo bali ni kwa sababu za kimatibabu.

Kwa miaka kadha iliyopita, makundi ya madaktari wamekuwa wakiwatuma wagonjwa ambao wanahisi maumivu au wanakumbwa na mfadhaiko wakafanyiwe upasuaji.

Lakini Dkt De Zulueta anasema baadhi ya wasichana wanajua hilo na wamekuwa wakiongeza chumvi dalili zao kuhakikisha wanafanyiwa upasuaji.

"Wanafahamu kwamba wana uwezekano mkubwa wa kufanyiwa upasuaji iwapo watasema kwamba inawasumbua wakati wa kushiriki ngono na kushiriki michezo, wanajua hilo litaongezea uzito."

Dkt Crouch anaamini upasuaji huo unafaa kufanyiwa wasichana walio na kasoro ya kimaumbile inayoathiri afya yao.

"Inaniwia vigumu sana kuamini kwamba kuna wasichana 150 walio na kasoro ya kimaumbile inayoathiri afya yao kiasi kwamba walihitaji upasuaji kwenye uke wao," anasema.

Aliongeza kwamba upasuaji huo unakaribiana sana na ukeketaji, ambao ni haramu nchini Uingereza.

"Sheria inasema hatufai kufanya upasuaji huu kwenye miili ambayo bado inakua kwa sababu za kitamaduni. Utamaduni wa sasa wa nchi za Magharibi unaonekana kutukuza zaidi midomo midogo ya uke, ambayo pia haijajitokeza nje. Naona haya ni sawa (na ukeketaji)."

Visa vingi vya upasuaji kwa sababu ya urembo sana hufanywa na madaktari wa kibinafsi na kwa wasichana wa umri wa zaidi ya miaka 18.
Sekta hiyo imelaumiwa kwa kuifanya kuwa kama kawaida watu kufanyiwa upasuaji huo.

Mtaalamu wa upasuaji Miles Berry anasema upasuaji huo wa labiaplasty unaweza kuimarisha kujiamini miongoni mwa wanawake.

Mtaalamu wa upasuaji Miles Berry ametetea upasuaji huo na kusema unaweza kuimarisha maisha ya wanawake.

"Upasuaji huu unaweza kuwabadili watu kabisa, jinsi wanavyojihisi wenyewe, wawe wanajiamini zaidi na kuwa na motisha. "Nimewaona wagonjwa wengi wa kati ya miaka 16 na 21 ambao hawajawahi kuwa na wapenzi kwa sababu wana wasiwasi kuhusu muonekano wa uke wao."

Chama kikuu cha wataalamu wa masuala ya uzazi Uingereza, kwa kimombo Royal College of Obstetricians and Gynaecologists, kinasema upasuaji huo haufai kufanywa hadi msichana awe amekomaa kabisa na viungo vyake kuacha kukua tena, baada yake kutimiza miaka 18.

Copyright © 2017 BBC. BBC

UPDATE'
Girls say they hate their vaginas'
Girls as young as nine are seeking surgery on their vagina because they are distressed by its appearance, the Victoria Derbyshire show has been told.

Dr Naomi Crouch, a leading adolescent gynaecologist, said she was concerned GPs were referring more young girls who wanted an operation.

Labiaplasty, as the surgery is known, involves the lips of the vagina being shortened or reshaped. The NHS says it should not be carried out on girls before they turn 18.
 
Do you know the consequences of female genital mutilation?
Unajua ni wasichana wangapi wamepoteza uhai kwa sababu ya huu upumbavu unaouita mila?

Unajua mateso wanayoyapata wakati wa kujifungua?
Hivi dunia ya Leo bado kuna watu wa aina yako?

Alaf unasema eti watoto wa kike hawawezi kuwakataa wanaume kivyovyote. Unakifahamu ulichokiandika kweli?

Acha kuwadhalilisha wadogo zetu! Watoto wa kike wanao uwezo mzuri wa kucontrol hisia zao kama wakiume. Ndio maana tunao akina Samia Suluhu, Ana Makinda, Ana Mghwira na wengine wengi. Je, na wao uliwakeketa wewe?

There is a special place in hell for potatoes like you. Tena ni chemba namba themanini ambapo unayeyuka kabla hujafika!

Shame on you!
 
Usihalalishe umalaya wa vitoto vijinga

Mbona kuna watoto wazuri tu wako very conscious na wanajitunza had I utu uzima?
 
Nilitegemea huu uzi utakua mzuri, kwa wale wanaoping hoja za mleta uzi kuweka hoja zao hapa ili watu tupate elimu, lakini naona matusi tu na kupelekana jehanamu mpaka namba za vyumba anapewa. Duh. Sijui lini tutajua kutofautisha hoja na mihemuko.
 
Umeanza vizuri ila umemalizia vibaya. Ni kweli kuwa jamii zetu hapo kale walikuwa na mila na desturi zilizotunza maadili kwa wakati ule, kuna baadhi ya mila mpaka leo hii ni nzuri lakini kuna nyingine kwa sasa hazifai mfano ukeketaji. Lakini ukumbuke kuwa mila za ukeketaji zilitumiwa hasa na jamii ya wafugaji kutokana na wivu (Mawazo yangu) kwa kuwa waume zao mara nyingi walishinda porini na mifugo hivyo waliogopa kuchapiwa. Kuna jamii nyingine hazikeketi lakini bado walikuwa na utaratibu mzuri (mpaka leo) wa kulea na kutunza familia zao.

Kurudisha tohara kwa mtoto wa kike siyo dawa kwa kuwa wakati mwingine umalaya au uzinzi ni tabia ya mtu binafsi na ina sababishwa na vitu vingi mfano tamaa ya fedha, ndiyo maana wapo hata baadhi ya Madada poa waliokeketwa na bado wanafanya umalaya

Hivyo basi kwa wakati wa sasa zimefanyika tafiti nyingi na ikaonekana ukeketaji una madhara makubwa kwa mtoto wa kike (Hasa wakati wa uzazi) hivyo serikali ikaamua kupiga marufuku mila hiyo BINAFSI SIWEZI KUUTETEA UKEKETAJI MAANA MADHARA YAKE NIMEYAONA.

Kauli ya Raisi kuhusu tatizo la Wanafunzi wa kike kupata mimba na kusema kuwa hatasomesha Wazazi imechukuliwa kisiasa zaidi kuliko uhalisia ndiyo maana imezua gumzo kubwa katika mitandao ya kijamii japo kuwa kiuhalisia hili ni tatizo la kijamii. Kumbukua KINGA NI BORA KULIKO TIBA (WAJIBIKA)

Binafsi nashauri SOTE TUPIGE VITA UKEKETAJI. (UKEKETAJI HAUKUBALIKI)
 
Wewe, Mogolo, kwa mini unashabikia mila za kijinga?.ivi, unafikiri kumkeketa mwanamke ndio kumpunguzia tamaa?. Kwa taarifa yako, humpunguzii tamaa, Vila unamfanya asiridhike. Kama hukubali, angalia makabila yanayokeketa, hata wanawake waliokeketwa wana michepuko (vitungo). Mwanamke aliyekeketwa haridhiki hata kama itaingiza goti utakuwa unapoteza muda. Vile vile ujue kuwa unapomkeketa mwanamke, ni kama unamuondolea ulimi wake. Si unajua kazi ya ulimi ni kutambua ladha ya chakula ( chumvi, sukari, na kisicho na ladha.)Kwa hiyo, mile wanachokiondoa, ni ulimi wake. Mwanamke aliyekeketwa, hana tofauti na mamba, kwa sababu mamba hana ulimi mdomoni .
 
Nadiriki kusema wewe ni mpumbavu!

Do you know the consequences of female genital mutilation?

Unajua ni wasichana wangapi wamepoteza uhai kwa sababu ya huu upumbavu unaouita mila?

Unajua mateso wanayoyapata wakati wa kujifungua?

Holy cow! Hivi dunia ya Leo bado kuna watu wa aina yako?

Alaf unasema eti watoto wa kike hawawezi kuwakataa wanaume kivyovyote. Unakifahamu ulichokiandika kweli?

Acha kuwadhalilisha wadogo zetu! Watoto wa kike wanao uwezo mzuri wa kucontrol hisia zao kama wakiume. Ndio maana tunao akina Samia Suluhu, Ana Makinda, Ana Mghwira na wengine wengi. Je, na wao uliwakeketa wewe?

There is a special place in hell for potatoes like you. Tena ni chemba namba themanini ambapo unayeyuka kabla hujafika!

Umeniharibia siku kwa huu upupu ulioandika. Next time, use your loaf!

Shame on you!

Huo uliouweka hapo ni matokeo ya kukumbatia elimu ya kikoloni iliyokufanya uendeshwe kama roboti. Mzungu kakulisha nini hadi uone mila na desturi nzuri za mababu zetu kuwa hazifai?

Fanya utafiti wako mwenyewe, si utafiti wa kulishwa na watu wa magharibi wanaoona kila kitu alichofanya muafrika ni kibaya! Nawewe bila hata kuchuja unakubali.

Achana na mawazo na fikara zinazoongozwa na NGO za magharibi, utapoteza utu wako.

Tohara kwa mtoto wa kike ndo suruhisho kwa mimba mashuleni.
 
Wewe, Mogolo, kwa mini unashabikia mila za kijinga?.ivi, unafikiri kumkeketa mwanamke ndio kumpunguzia tamaa?. Kwa taarifa yako, humpunguzii tamaa, Vila unamfanya asiridhike. Kama hukubali, angalia makabila yanayokeketa, hata wanawake waliokeketwa wana michepuko (vitungo). Mwanamke aliyekeketwa haridhiki hata kama itaingiza goti utakuwa unapoteza muda. Vile vile ujue kuwa unapomkeketa mwanamke, ni kama unamuondolea ulimi wake. Si unajua kazi ya ulimi ni kutambua ladha ya chakula ( chumvi, sukari, na kisicho na ladha.)Kwa hiyo, mile wanachokiondoa, ni ulimi wake. Mwanamke aliyekeketwa, hana tofauti na mamba, kwa sababu mamba hana ulimi mdomoni .
Ndugu yangu, hebu tujaribu kuwa postive katika hoja hii. Hivi ni nani aliyewaambia waafrika kuwa tohara kwa mtoto wa kike ni mbaya! Ni mzungu. Kwa wala si utashi wetu kuikataa tohara. Haya ni mawazo ya kupandikizwa na wazungu kwa kuona kila mira na desturi za waafrika ni mbaya.

Tohara itawasaidia sana watotot wa kike kuepukanna mimba mashuleni, na pia watakapoolewa kutulia katika ndoa zao.
 
Umeanza vizuri ila umemalizia vibaya. Ni kweli kuwa jamii zetu hapo kale walikuwa na mila na desturi zilizotunza maadili kwa wakati ule, kuna baadhi ya mila mpaka leo hii ni nzuri lakini kuna nyingine kwa sasa hazifai mfano ukeketaji. Lakini ukumbuke kuwa mila za ukeketaji zilitumiwa hasa na jamii ya wafugaji kutokana na wivu (Mawazo yangu) kwa kuwa waume zao mara nyingi walishinda porini na mifugo hivyo waliogopa kuchapiwa. Kuna jamii nyingine hazikeketi lakini bado walikuwa na utaratibu mzuri (mpaka leo) wa kulea na kutunza familia zao.

Kurudisha tohara kwa mtoto wa kike siyo dawa kwa kuwa wakati mwingine umalaya au uzinzi ni tabia ya mtu binafsi na ina sababishwa na vitu vingi mfano tamaa ya fedha, ndiyo maana wapo hata baadhi ya Madada poa waliokeketwa na bado wanafanya umalaya

Hivyo basi kwa wakati wa sasa zimefanyika tafiti nyingi na ikaonekana ukeketaji una madhara makubwa kwa mtoto wa kike (Hasa wakati wa uzazi) hivyo serikali ikaamua kupiga marufuku mila hiyo BINAFSI SIWEZI KUUTETEA UKEKETAJI MAANA MADHARA YAKE NIMEYAONA.

Kauli ya Raisi kuhusu tatizo la Wanafunzi wa kike kupata mimba na kusema kuwa hatasomesha Wazazi imechukuliwa kisiasa zaidi kuliko uhalisia ndiyo maana imezua gumzo kubwa katika mitandao ya kijamii japo kuwa kiuhalisia hili ni tatizo la kijamii. Kumbukua KINGA NI BORA KULIKO TIBA (WAJIBIKA)

Binafsi nashauri SOTE TUPIGE VITA UKEKETAJI. (UKEKETAJI HAUKUBALIKI)
Pole sana ndugu kwa kuwa muumini wa tafiti zilizo asisiwa na watu ambao kila uchao wanataka mwafrika aonekane kama binadam asiyekamilika.

Kwa jicho la mwafrika huru, hizo tafiti ni batili. Jamii yetu imekuwepo toka kuwepo kwa uhai. Kama mila na desturi zetu zingelikuwa na kasoro, wala tusingekuwepo.

Lakini kwa kuwa waliishatufanya sisi kuwa hatuna akili ya kufikiri basi, wanakuja na tafiti zenye nia ya kufanya muafrika aonekane si lolote kwao. Na kwa kusaidiwa na wenzetu wachache walioshiba elimu ya kikoloni, haya ndo matokeo yake. Mila zetu eti mbaya!

Hebu jiulize swali moja rahisi tu. Kama umekuwepo toka miaka ya zamani, nina maanisha zaidi ya 45. Kwa nini jamii ambazo zilikuwa zikifanya tohara kwa watoto wa kiki na wakiume hazikuathirika na janga la ukimwi ukilinganisha na jamii ambazo tohara kwao ilikuwa haifanyiki. Hapa ndipo utapata jibu la faida ya tohara kwa watoto wa kike na wakiume pia.

Nitakufungua kichwa kidogo! Toka enzi za mababu, jamii ya Makabila ya Luo na Kurya yamekuwa yakiishi jirani kabla hata ya wakoloni kuigawanya Afrika.

Kabila la Luo, wao hawakuwa na utamaduni wa kufanya tohara kwa watoto wa kike na wakiume pia.

Jirani zao kabila la Wakurya, wao ni jadi yao kufanya tohara kwa watoto wa kike na kiume pia.

Sasa tafuta takwimu za maambukizi ya ukwimi kati ya miaka ya 80 hadi 90 utaona jinsi gani tohara inafaida kubwa sana zaidi ya tunavyodanganywa na wakoloni kupitia NGO zao.
 
Back
Top Bottom