Ntate Mogolo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 410
- 711
Jamaa hawa pesa iko mingi. Mchuma uko njiani kutoka South Africa kuelekea Dar es salaam. Kazungula ni border ya Botswana na Zambia.Wanaenda wap hawa nao
Ndiyo Ukweli Azam FC Wapo Vema Japo Matokeo Yao Ndiyo Bado Hajafika Kileleni Yaani Wakojoe. Haa HaaAzam fc wanalelewa na kupewa kila kitu mwisho wa siku wanakuja kuwa timu ya kawaida tu
Na mimi hilo huwa nalishangaa sana! Hata hivyo shida nia aina ya wachezaji wanaopenda kusajili, wengi huwa ni machachari lakini huwa na uzowefu mdogo!Azam fc wanalelewa na kupewa kila kitu mwisho wa siku wanakuja kuwa timu ya kawaida tu
Hawalipi vizuri.HAWA JAMAA WANATUNZA VEMA WACHEZAJI WAO,WANAWALIPA VEMA AFU HAWAIPIGANII TIMU KABISA
UONGOZI WA AZAM LAZIMA UWASAINISHE NA MALENGO YA KLABU,WASIPOFIKA HATUA FLANI PANGA LA MSHAHARA LINAPITA
Ni uongo mkubwa!Kuna mtu aliwahiniambia kwamba kutokana na muingiliano na maslahi mapana ya kibiashara, wakiwa wanachukua makombe kuwazidi Simba na Yanga uhasama unaweza kuhamia kwenye biashara. Mashabiki wakasusia bidhaa za Azam, kitu kinachowaingizia pesa ndefu.
Kwakua mie sio mtaalam wa mpira na mambo ya michezo nikajiondokea kutafuta urojo na mkate wa ufuta ila nikabaki na maswali, kwanini walianzisha timu ikiwa hawataki vikombe?
Mimi yanga ila napiga mo energyKuna mtu aliwahiniambia kwamba kutokana na muingiliano na maslahi mapana ya kibiashara, wakiwa wanachukua makombe kuwazidi Simba na Yanga uhasama unaweza kuhamia kwenye biashara. Mashabiki wakasusia bidhaa za Azam, kitu kinachowaingizia pesa ndefu.
Kwakua mie sio mtaalam wa mpira na mambo ya michezo nikajiondokea kutafuta urojo na mkate wa ufuta ila nikabaki na maswali, kwanini walianzisha timu ikiwa hawataki vikombe?
Ni uongo mkubwa!
Mbona sijaona mashabiki wa Yanga wakisusia bidhaa za Mo?
Nililiona la Simba huko Tunduma liko kama hilo ila ni kubwa kidogo.
HAWA JAMAA WANATUNZA VEMA WACHEZAJI WAO,WANAWALIPA VEMA AFU HAWAIPIGANII TIMU KABISA
UONGOZI WA AZAM LAZIMA UWASAINISHE NA MALENGO YA KLABU,WASIPOFIKA HATUA FLANI PANGA LA MSHAHARA LINAPITA
Simba kwa Sasa hamna nyimbo.Nililiona la Simba huko Tunduma liko kama hilo ila ni kubwa kidogo.
Hawa vijana wetu unataka wakacheze India ?Ifike mahala azam asajili wachezaji kutoka nje,,,aachane na wabongo.
Hawa vijana wetu unataka wakacheze India ?