Search results

  1. goodlif1600

    Nichague IPI kati ya Toyota Rav 4 kilitime na premio new model

    Naomba kupewa wasifu wa gari hizi mbili Toyota Rav 4 kilitime na premio nataka nifanye maamuzi. Japo ni gari mbili zenye utofauti lkn nilichoangalia ni ulaji wa mafuta, upatikanaji wa spea na uimara wa gari husika kama ningekuwa vzr mfukoni ningechukua zote ila ndo hivyo napaswa kuchagua moja.
  2. goodlif1600

    Nahitaji pos nmb mwenye nayo tuongee biashara

    Kama kichwa Cha mada kinavojieleza hapo juu kama Kuna mtu ana POS NMB wakala na haitumii au amefunga biashara naomba aniuzie.Itakua vyema kama yupo maeneo ya DODOMA Au BABATI
  3. goodlif1600

    Teaching allowance ndiyo ukombozi wa kweli kwa Mwalimu

    Walimu wamefarijika sana baada ya kumsikia Mh. Rais akisema kwamba swala la teaching allowance amelichukua na anakwenda kulifanyia Kazi. Tunafahamu mama yetu akisema siku zote anatenda, ameboresha miundombinu ya shule kwa kujenga madarasa, maabara, mabweni hatimae sasa anakwenda kuweka historia...
  4. goodlif1600

    Ali Kiba anachokera hatumii nguvu nyingi kama wengine

    Huyu ni the gifted ALIKIBA mashabiki zake wengi wanamuita "King wa bongo fleva" nimeanza kumsikiliza siku nyingi since 2007 ndo nilipata fursa ya kumsikiliza kwa mara ya kwanza kwenye nyimbo yake ya Cinderella leo Ni 2021 nasikiliza recent release yake inaitwa "Ndombolo ". Aisee nasema ukweli...
  5. goodlif1600

    Hizi show za Wasanii kwenye hafla mbalimbali anayepanga Wasanii mbona kama anapendelea WCB?

    Habari za jioni Wana JF wenzangu Nimekua nafuatilia show za wanamuziki na matukio mbalimbali yanayoendelea nchini kwetu napenda nitoe tafakuri yangu juu ya hizi shows wanazoalikwa wanamuziki kwenda kuperform kwenye hafla hasa hizi za kisiasa naona Kama zinatawaliwa Sana na WASANII kutoka label...
  6. goodlif1600

    Rais Samia anafanya kazi kwa weledi sioni upinzani kama una tija kwa sasa

    Habari ndugu Wana JF Nimekua nikifuatilia habari na matukio yanayoendelea hapa nchini kiukweli nimpongeze Rais wetu Samia kwa kuamua kuongoza nchi kwa kutumia Sheria na utawala bora. Wote tumeshuhudia akijenga mahusiano mazuri na nchi nyingi huko duniani lakini ameonyesha njia katika kutatua...
  7. goodlif1600

    Ukiona wapinzani wako wameanza kukusifu ujue tu kuna sehemu unakosea

    Hii ndo ipo ivyo Mara nyingi wapinzani wako wanaweza wawe na sababu za msingi kukupinga au wasiwe na sababu za msingi ila ni watu walioamua kukupinga ili waone haufanikiwi katika Jambo unalolitekeleza kwa wakati huo. Utakapo haribu mambo yakaenda vibaya wao ndo furaha yao watatoka na kusema...
  8. goodlif1600

    Alikiba ni msanii mwenye taste unique

    Tangu nimeanza kufuatilia mziki huu wa Kitanzania, Bongo fleva nimesikiliza nyimbo za wanamuziki wengi. Lakini huyu mwanamuziki Ana taste flani ukiwa unamsikiliza iko unique Sana. He knows how to sing, kiukweli tukiachana na drama au siasa kwenye mziki it's not a shame to say hata ambao...
Back
Top Bottom