Alikiba ni msanii mwenye taste unique

goodlif1600

JF-Expert Member
Jun 1, 2016
794
865
1622360622469.png

Tangu nimeanza kufuatilia mziki huu wa Kitanzania, Bongo fleva nimesikiliza nyimbo za wanamuziki wengi.

Lakini huyu mwanamuziki Ana taste flani ukiwa unamsikiliza iko unique Sana. He knows how to sing, kiukweli tukiachana na drama au siasa kwenye mziki it's not a shame to say hata ambao wanamchukia they know ana kitu kikubwa so wanahofia uwezo wake.

Mimi binafsi nimejifunza kupenda mziki mzuri sio kupenda mwanamuziki ukija na sababu za kwamba haishi kistar, Hana madrama sijui ayo ndo biashara Mimi biashara zake hazinisaidii kitu Kama msikilizaji wa muziki napenda nienjoi mziki mzuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom