Nichague IPI kati ya Toyota Rav 4 kilitime na premio new model

goodlif1600

JF-Expert Member
Jun 1, 2016
794
865
Naomba kupewa wasifu wa gari hizi mbili Toyota Rav 4 kilitime na premio nataka nifanye maamuzi. Japo ni gari mbili zenye utofauti lkn nilichoangalia ni ulaji wa mafuta, upatikanaji wa spea na uimara wa gari husika kama ningekuwa vzr mfukoni ningechukua zote ila ndo hivyo napaswa kuchagua moja.
 
Naomba kupewa wasifu wa gari hizi mbili Toyota Rav 4 kilitime na premio nataka nifanye maamuzi. Japo ni gari mbili zenye utofauti lkn nilichoangalia ni ulaji wa mafuta,upatikanaji wa spea na uimara wa gari husika kama ningekua vzr mfukoni ningechukua zote ila ndo ivyo napaswa kuchagua moja
Tafuta gari unayoimudu
 
Hujasema kama unamudu gharama za rav 4 imesimama zaidi....kama una ubavu nenda na rav 4 ....ninazo 2 mwaka 13 huu ingine mwaka 10....hutajuta
 
Hujasema kama unamudu gharama za rav 4 imesimama zaidi....kama una ubavu nenda na rav 4 ....ninazo 2 mwaka 13 huu ingine mwaka 10....hutajuta

Mkuu kwema kati ya 2010 na 2013 ipi unashauri kWa watu tunaoingia interior njia za punda
 
Back
Top Bottom