Teaching allowance ndiyo ukombozi wa kweli kwa Mwalimu

goodlif1600

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Posts
806
Reaction score
889
Walimu wamefarijika sana baada ya kumsikia Mh. Rais akisema kwamba swala la teaching allowance amelichukua na anakwenda kulifanyia Kazi.

Tunafahamu mama yetu akisema siku zote anatenda, ameboresha miundombinu ya shule kwa kujenga madarasa, maabara, mabweni hatimae sasa anakwenda kuweka historia kwa kugusa moja kwa moja maslahi ya mwalimu.

Walimu ndiyo kundi lenye watumishi wengine na kundi linafanya Kazi kubwa inayogusa maslahi mapana ya taifa. Mwalimu huandaa watalaamu wanaokwenda kuhudumia kwenye kada mbalimbali kwa ajili ya kujenga na kukuza uchumi wa Taifa.

lkn kubwa zaidi future ya Taifa lolote like ipo mikononi mwa walimu kwa sababu watoto wetu ambao ni taifa la Kesho tunawategea walimu ndo wawaandae kwa kuwapa elimu na kuwalea kwa maadili mema.

Kusikiliza vilio vya walimu na kuvifanyia Kazi imekua ni jambo jema sana na imezidi kuwaaminisha watanzania kwamba Mh. Rais mama yetu Samia suluhu Hasan ni msikivu.
 
MKAPA ndiye aliyewazika walimu kwa kufuta teaching allowance. Aliwagiga changa la macho walimu akadai eti teaching allowance imeunganishwa kwenye mshahara!

Jackson Makweta atabakia kuwa shujaa linapokuja suala la kutetea maslahi ya waalimu. Yeye Makweta ndiye aliyewezesha teaching allowance kwa walimu na Mkapa akaitoa kwa hila!!
 
Mkuu hilo haliwezekani kwasababu walimu wameshagawanywa ... Gawanya watu watawale. Hii solidarity huimbwa kinafki.. why!?

B'coz..

Wakuu na Walimu wakuu wote wana posho ya madaraka. 250k monthly. Hao hawawezi kuwa sawa na Walimu wengine kwani shida zako hazimuhusu.

Walimu wa Science at first appointment mshahara wao uko juu kuliko walimu wa sanaa.

So usitengemee hilo. WAGAWE WATAWALE.
 
Mkuu hilo haliwezekani kwasababu walimu wamshagawanywa ... Gaeanya watu watawale. Hii solidarity huimbwa kinafki.. why!?

B'coz..

Wakuu na Walimu wakuu wote wana posho ya madaraka. 250k monthly. Hao hawawezi kuwa sawa na Walimu wengine kwani shida zako hazimuhusu.

Walimu wa Science at first appointment mshahara wao uko juu kuliko walimu wa sanaa.

So usitengemee hilo. WAGAWE WATAWALE.
Hili swala litawagusa wote.ukianza kutoa posho kwa makundi unayumbusha chombo jahazi linazama the best way ni kuwapa posho wote ili wafanye Kazi zoo kwa weledi.
 
MKAPA ndiye aliyewazika walimu kwa kufuta teaching allowance. Aliwagiga changa la macho walimu akadai eti teaching allowance imeunganishwa kwenye mshahara!

Jackson Makweta atabakia kuwa shujaa linapokuja suala la kutetea maslahi ya waalimu. Yeye Makweta ndiye aliyewezesha teaching allowance kwa walimu na Mkapa akaitoa kwa hila!!
Kumbe mzee wetu mkapa ndo alipeleka msiba kwa walimu.
Tunaimani Rais Mh. Samia suluhu Hassan atawafuta machozi walimu wetu tumpe muda alifanyie kazi.
 
Walimu wamefarijika sana baada ya kumsikia Mh. Rais akisema kwamba swala la teaching allowance amelichukua na anakwenda kulifanyia Kazi.

Tunafahamu mama yetu akisema siku zote anatenda, ameboresha miundombinu ya shule kwa kujenga madarasa, maabara, mabweni hatimae sasa anakwenda kuweka historia kwa kugusa moja kwa moja maslahi ya mwalimu.

Walimu ndiyo kundi lenye watumishi wengine na kundi linafanya Kazi kubwa inayogusa maslahi mapana ya taifa. Mwalimu huandaa watalaamu wanaokwenda kuhudumia kwenye kada mbalimbali kwa ajili ya kujenga na kukuza uchumi wa Taifa.

lkn kubwa zaidi future ya Taifa lolote like ipo mikononi mwa walimu kwa sababu watoto wetu ambao ni taifa la Kesho tunawategea walimu ndo wawaandae kwa kuwapa elimu na kuwalea kwa maadili mema.

Kusikiliza vilio vya walimu na kuvifanyia Kazi imekua ni jambo jema sana na imezidi kuwaaminisha watanzania kwamba Mh. Rais mama yetu Samia suluhu Hasan ni msikivu.
Mazingira bora ya kazi pia ni muhimu.
 
Wapewe hata 5000 kila siku ya kazi
 
Hata wakilipwa hio hakuna msaada, watabaki hivyo hivyo.
Halafu nadhani hawajui ku negotiste vizuri kinachotakiwa ni kupanda mshahara

Mshahara ukipanda na pension itapanda

Allowance huwa hazipandishi pension hata ulipwe bilioni kwa mwezi
 
Walimu wamefarijika sana baada ya kumsikia Mh. Rais akisema kwamba swala la teaching allowance amelichukua na anakwenda kulifanyia Kazi.

Tunafahamu mama yetu akisema siku zote anatenda, ameboresha miundombinu ya shule kwa kujenga madarasa, maabara, mabweni hatimae sasa anakwenda kuweka historia kwa kugusa moja kwa moja maslahi ya mwalimu.

Walimu ndiyo kundi lenye watumishi wengine na kundi linafanya Kazi kubwa inayogusa maslahi mapana ya taifa. Mwalimu huandaa watalaamu wanaokwenda kuhudumia kwenye kada mbalimbali kwa ajili ya kujenga na kukuza uchumi wa Taifa.

lkn kubwa zaidi future ya Taifa lolote like ipo mikononi mwa walimu kwa sababu watoto wetu ambao ni taifa la Kesho tunawategea walimu ndo wawaandae kwa kuwapa elimu na kuwalea kwa maadili mema.

Kusikiliza vilio vya walimu na kuvifanyia Kazi imekua ni jambo jema sana na imezidi kuwaaminisha watanzania kwamba Mh. Rais mama yetu Samia suluhu Hasan ni msikivu.
Leo kwenye daladala Kuna jamaa alikua anauponda sana ualimu hasa hasa wa hapa mjini DSM,

Akaenda mbali kua watu wajitafakar kama pesa zako zinaishia kwenye chakula na nauli ni Bora urudi kijijini..........

Akaenda mbali zaidi kua unakaa mjini huku una mark time to Bora urudi kijijini....mjini hupawezi....

KWANN UALIMU UMEKUA NI FEDHEHA NA AIBU KUUTAJA.....

Kwaio hata baba wa taifa 🇹🇿 MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE.....
Leo angekua hai angeshindwa kujitambulisha kua ni MWALIMU....????
 
Halafu nadhani hawajui ku negotiste vizuri kinachotakiwa ni kupanda mshahara

Mshahara ukipanda na pension itapanda

Allowance huwa hazipandishi pension hata ulipwe bilioni kwa mwezi
Mkuu unachosema ni kweli lkn mshahara wa watumishi umejaa kodi kwaio haitosaidia sana kumkomboa mwalimu... Allowance hazina kodi Acha wapewe hii ni Kama motisha ili wachape kazi kwa bidii.
 
Leo kwenye daladala Kuna jamaa alikua anauponda sana ualimu hasa hasa wa hapa mjini DSM,

Akaenda mbali kua watu wajitafakar kama pesa zako zinaishia kwenye chakula na nauli ni Bora urudi kijijini..........

Akaenda mbali zaidi kua unakaa mjini huku una mark time to Bora urudi kijijini....mjini hupawezi....

KWANN UALIMU UMEKUA NI FEDHEHA NA AIBU KUUTAJA.....

Kwaio hata baba wa taifa [emoji1241] MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE.....
Leo angekua hai angeshindwa kujitambulisha kua ni MWALIMU....????
Achilia mbali kuwa walimu hawana marupurupu mengi katika kazi yao na kama wakidi haikatazwi na inapaswa wasikilize
Ila
Nafikiri miongoni mwawatu wanao zijua vizuri jamii za kitanzania basi mwalimu ni miongoni mwa hao watu,yaani mwalimu anashinda na watoto Wakitanzania ambao wanaakisi hali halisi za majumbani Kwa muda mrefu anaona kula yao wakiwa hapo shule,anaona uvaaji wao na wanafunzi wengine wanashare matatizo yao na walimu pia walimu wamesoma na watu mbalimbali na anajua ugumu WA maisha WA hao watu kabla ya kupata hizo kazi ziwapazo ngebe

ila basi tu tukiwa mitandaoni tunapiga kelelele kudharau kazi ya ualimu na Ili hali wengine wanajishikiza kwenye ualimu Ili wasongeshe maisha lakini wakitoka dharau kama zote sababu wamepata kazi kidogo iliyo na mianya

Kama kweli nyinyi mlio wengi mnamaisha mazuri mbona mnalalamika kuto pesa za michango huko shuleni,mbona watoto wanapuliza uji bila ya vitafunwa,juice za mia Tano na vitu vya shilingi miatano,mia tatu vinadoda haviuziki huko mashuleni na vikiuzika ni Kwa uchache sana

Kiufupi mwalimu anatujua sana watanzania na hali zetu ni basi tu kelele zimekuwa nyingi za kumdharau mwalimu na kumfanya ajione mnyonge
 
Back
Top Bottom