Search results

  1. B

    ACT-Wazalendo njama za kuharibu mikutano yao Singida

    Taarifa zimezagaa Mjini Singida kuwa mahasimu wakubwa wa chama kipya cha ACT-Wazalendo wameandaa kamchezo kachafu kakufanya fujo katika mikutano yao leo Singida. Mikutano hiyo inaanzia Manyoni. Red Brigade moja 'aliyaasi amewatonya viongozi wa ACT-Wazalendo Mkoa wa Singida kuwa kuna Re Brigade...
  2. B

    PAC Report

    Hii nayo wabunge wakigangamala kuna uwezekano mkubwa mtu mwingine akakimbia ofisi. Welcome to the land of kashfa! _________________________________________________________________________________________________ JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA ________________ KAMATI...
  3. B

    PAC Report

    Hii nayo wabunge wakigangamala kuna uwezekano mkubwa mtu mwingine akakimbia ofisi. Welcome to the land of kashfa! _________________________________________________________________________________________________ JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA ________________ KAMATI...
  4. B

    Elections 2010 Dk Slaa amesema nini kwenye press conference huko DOM?

    Kuna habari zinaendelea kusambaa kama moto wa kifuu kuwa Dk Slaa amefanya/au atafanya press confeence huko Dodoma this morning. Mlioko huko hebu tuhabarisheni. Tuna hamu ya kujua anasema nini huyu Mheshimiwa aliyekoga nyoyo za watanzania zikakogika!
  5. B

    Elections 2010 Kuna shinikizo la CCM kuhesabu kura baadhi ya sehemu

    Kuna taarifa za uhakika kwamba kule walikoshindwa, CCM wanataka uhesabuje kura urudiwe. Huko Karagwe Mkuu wa Mkoa ameagiza na anajarbu kushinikiza kwamba kura zihesabiwa upya. Vivyo hivyo Nyamagana, Ilemela, Arusha Mjini, etc. Kitakachotokea kama CHADEMA watakubali hili ni kwamba jamaa...
  6. B

    Elections 2010 Kipindi maalumu kwenye ITV na Dk Slaa (Saa 9.30 hadi Saa 10.30)

    Kutakuwa na kipindi maalumu cha Dk Slaa katika ITV leo siku ya mwisho wa kampeni kuanzia saa 9.30 hadi saa 10.30 jioni. Katika kipindi hiki Dk Slaa atafanya majumuisho ya kampeni zake na kuwaomba tena watanzania wamchague hiyo kesho. Awali kipindi hiki kilikuwa kirushwe kuanzia saa 11 hadi...
  7. B

    Kauli ya First Lady wa Dk. Slaa, Josephine

    Josephine Mushumbusi, amezungumza kupitia Mwanasheria Mkuu wa Chadema, ambaye pia ni wakili wa Dk Willibrod Slaa, Tundu Lissu, akaviambia vyombo vya habari kuhusu tuhuma zinazowakabili yeye na Dk. Slaa kuwa kwa mara nyingine, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimerejesha mfumo wa uchaguzi unaobadilishwa...
  8. B

    Ile thread ya wakubwa ilienda wapi?

    Jamani ile thread ya watu wakubwa ilipelekwa wapi? Kila nikiitafuta siioni, sasa wengine tulishazoea kupitapita huko kuweka mambo sawa, sasa inakuwaje tena mmeitoa? Irudisheni tafadhali kabla hatujaandamana
  9. B

    Sasa tuwageukia upinzani- wajirekebishe na kujipanga mapema

    Ok, wandugu. Mimi naona hawa CCM tumeshawazodoa vya kutosha na kuna kila dalili kwamba tunayowaambia yanaingilia huku yanatokea kule. Ni wazi pia kwamba kila mwananchi sasa anajua kwamba hawa CCM hawatabadilika hadi watakapobadilishwa. Hata hivyo ukweli ni kwamba wananchi hawataibadili CCM kwa...
  10. B

    Kibaki was forced!

    Nyie wenzangu mmeshaiona hii? Kwamba Kibaki alilazimishwa na Mafia kubaki kwenye urais wakati yeye alikuwa anajiandaa kumpa pongezi Raila kwa kushinda! Makubwa tutayaona Afrika hii! NSIS LEAK: KIBAKI WAS FORCED AND RUSHED INTO A SWEARING CEREMONY BY THE MT.KENYA MAFIA IN A MEETING CHAIRED...
  11. B

    JF: Are we serious na mapambano na ufisadi?

    Hii haijakaa sawa, haiwezekani JF sasa hivi ndio inaongoza kupambana na ufisadi nchini halafu tunaruhusa watu wanajiita Fisadi humu tunawaruhusu, jamani tuonyeshe mfano. Pamoja na uhuru tulio nao lazima kuna vitu tuvikatae ambavyo vina contradict our own principles. Sisi tumeshaamua kwamba tuna...
  12. B

    Waandishi wa habari hawana picha ingine ya Karamagi?

    Kwa kweli hii picha ya huyu jamaa mimi huwa inanichefuaga sana, sasa ina maana hawa waandishi hawana picha ingine au ndio tuseme huyu jamaa ndio sura yake hii?
  13. B

    Barua ya wazi kwa marais wa EAC na Issa Shivji

    Sijui kama mmeshaiona hii barua ya Issa Shivji kuhusu yaliyotokea na yanayoendelea kutokea Kenya. Soma jinsi huyu Profesa mahiri na mzalendo alivyomkoma nyani gladi. Hamumunyi maneno, anaweka vitu hadharani. Haya jisomee sasa mwenyewe...
Back
Top Bottom