Kibaki was forced!

Binti Maria

Senior Member
Jun 26, 2007
158
33
Nyie wenzangu mmeshaiona hii? Kwamba Kibaki alilazimishwa na Mafia kubaki kwenye urais wakati yeye alikuwa anajiandaa kumpa pongezi Raila kwa kushinda! Makubwa tutayaona Afrika hii!


NSIS LEAK: KIBAKI WAS FORCED AND RUSHED INTO A
SWEARING CEREMONY BY THE MT.KENYA MAFIA IN A MEETING CHAIRED BY
MICHUKI


TOP SOURCES PRIVY TO NSIS TOP OFFICALS BASED AT THE
HEADQUARTERS ARE CONFIRMING THAT WHILE PRESIDENT KIBAKI WANTED TO
CALL A PRESS CONFERENCE TO CONCEDE DEFEAT WHILE 90% OF THE VOTRES
HAD BEEN COUNTED,48HRS BEFORE ELECTION AN EMERGENCY MEETING
CHAIRED BY MICHUKI AND SECONDED BY NICHOLAS BIWOTT AND LUCY
KIBAKI AT MICHUKI OWNED WINDSOR GOLF WHEREBY BIWOTT AND DANIEL ARAP
THREATENED TO LEAVE KIBAKI ALONE TO FIGHT HIS OWNED PROBLEMS AND
THEY WOULD FLEE THE COUNTRY TO MAURITANIA IF HE DOESNT FORCE HIS WAY
INTO VICTORY.

MICHUKI IS REPORTED TO HAVE BEEN SO ANNOYED HE LIT A
CIGARRETE OF EMBASSY KINGS INFRONT OF THE CLIQUE AND MADAME
LUCY,SAYING KIBAKI SHOULD LEAVE EVERYTHING TO HIM,HE'LL HANDLE.

A TELEPHONE CALL, NUMBER WITHHELD WAS MADE TO KIVUITU
BY BIWOTT, TELLING HIM THAT, WAZEE WA NCHI WAMEDECIDE THAT
HE SHOULD INAUGURATE KIBAKI OR ELSE LEAVE KENYA WITH IMMEDIATE
EFFECT. HE WAS OFFERED KES 242 MILLION IN RETURN,WHICH HE ACCEPTED
AND A POST OF KENYA'S AMBASSADOR TO BOTSWANA COME MARCH,WHICH HE
ACCEPTED.

WILL UPDATE YOU MORE
 
Hizi habari mbona zilikuja hata kabla ya matokeo kutangazwa. Fuatilia ile thread ya uchaguzi wa Kenya(but Haikuwa na details za nani alikuwepo kwenye kikao hicho na offer iliyopewa kuvuitu)
 
Poleni sana Wakenya..nyie ndo supper power ya EA...tulipokataa fast tracking ya EAF mlituona sisi makapuku hatuna maana..mlisema ethenic clashes zenu ni better than umasikini wa kitz.
Tunawaombea Mungu awarehemu.
 
Suala la Kenye ni gumu sana.

Huwa najiuliza, hivi ni kweli mtu (kama hawa Kibaki na Odinga), ni kweli wana machungu ya kuiongoza Kenya kwa nia njema ama kwa manufaa yao wao wenyewe?

Na huyu Kibaki jamani, si alishakaa hiyo miaka mitano inatosha sasa, angeachia madaraka uchaguzi urudiwe na ikiwezekana this time asisimame yeye kama mgombea, bali mtu mwingine toka chama chake (Of course wapo), kuliko kung'ang'ania uongozi, watu wanaokupenda wanauwawa na wasiokupenda wanauwawa, hivi hata ha feel guilt na damu za watu kumwagika sababu yake? Na kwa nini hajiulizi kwamba after five years, whether he likes or not itabidi ampishe mwingine either toka chama chake ama upinzani, na kwamba bado nchi itaenda bila ya yeye?

Inasikitisha sasa sana, uroho wa madaraka, rushwa na roho mbaya za kinyama zisizojali damu za watu zinavyomwagika.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom