Waandishi wa habari hawana picha ingine ya Karamagi?

Binti Maria

Senior Member
Jun 26, 2007
158
33
Kwa kweli hii picha ya huyu jamaa mimi huwa inanichefuaga sana, sasa ina maana hawa waandishi hawana picha ingine au ndio tuseme huyu jamaa ndio sura yake hii?
 
Attachments

  • Karamagi.doc
    45 KB · Views: 701
Hahahahahahahaha umenivunja mbavu dadangu, hilo ndo best pozi la Karamagi!!
 
Kwa kweli hii picha ya huyu jamaa mimi huwa inanichefuaga sana, sasa ina maana hawa waandishi hawana picha ingine au ndio tuseme huyu jamaa ndio sura yake hii?

Nimecheka sana ikabidi nijitahidi kutafuta nyingine huenda ikawa nzuri kidogo mambo yakawa ni haya, cheki hii hapo alikuwa anatabasamu.

Karamagi.JPG
 
Ile picha inayotoka nafikiri ndo wameiona iko poa zaidi, sasa ukitaka hizo zingine kazi kwako, utakimbia maana hillo sura limekaa ka jizi fulani la dhahabu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom