Elections 2010 Dk Slaa amesema nini kwenye press conference huko DOM?

Binti Maria

Senior Member
Jun 26, 2007
158
33
Kuna habari zinaendelea kusambaa kama moto wa kifuu kuwa Dk Slaa amefanya/au atafanya press confeence huko Dodoma this morning. Mlioko huko hebu tuhabarisheni. Tuna hamu ya kujua anasema nini huyu Mheshimiwa aliyekoga nyoyo za watanzania zikakogika!
 

Brooklyn

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
1,459
283
Sidhani kama amefanya, if so then it is wrongly timed given the series of events that are expected in this week.

Dr. Slaa nakushauri ili upate media coverage kubwa, subiri Waziri Mkuu apatikane, na Rais JK alihutubie bunge, then baada ya wiki mwaga kila kitu adharani. Ukifuata ushauri wangu utapata mileage kubwa zaidi!!

Nakutakia kila la kheri Mh. Dr. W.P. Slaa
 

HISIA KALI

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
694
108
Sidhani kama amefanya, if so then it is wrongly timed given the series of events that are expected in this week.

Dr. Slaa nakushauri ili upate media coverage kubwa, subiri Waziri Mkuu apatikane, na Rais JK alihutubie bunge, then baada ya wiki mwaga kila kitu adharani. Ukifuata ushauri wangu utapata mileage kubwa zaidi!!

Nakutakia kila la kheri Mh. Dr. W.P. Slaa

Hii ni sawa kabisa, Dr Slaa asubiri kwanza waliopewa ushindi wamalize kujipangia vyeo. Media yote sasa hivi ipo huko. Habari za uteuzi wa na hotuba zikishaisha kwenye vyombo vya habari then ndio utoe zako.
 

Thomas Odera

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
661
137
ni kweli muda huu watu wengi wanasubiri baraza la mawaziri na kiranja wao mkuu Mkuu wa nchi akimaliza tu hii kazi Dr Slaa amwage sera na yaliyo moyoni mwake
 

Kiby

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
6,558
3,913
mwacheni atulie kwanza manake nimemwona hata kaafya kake kametetereka

.
Mmh umemfananisha na mkwere. Kwani mkwere ndio kadhoofu tena saaana tu. Yaani nakuhakikishia akishakamilisha kazi ya kuteua wasaidizi wake utashuhudia atavyochurupukia ughaibuni.. kufanya thoroughly check up. We fikiria toka aanguke jukwaani hajatoka nje ya nchi.
 

Lenana

JF-Expert Member
Oct 10, 2010
421
78
magonjwa mpime shughuli ya uchaguzi si mchezo @ ccm and chadema mpime na mengineyo! muhimbili inatoshaaaaaaaaaaaaa tena sanaaaaaaaaa tuuuuuuuuuuuuu ughaibuni kunanii? kama kubadili damu sawa inawabidi mwende huko!
 

makoye2009

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
2,641
1,217
Nimesikia sasa hivi toka Clouds FM kwenye taarifa ya habari kuwa Dr.Slaa keshaongea na Waandishi wa habari akiwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe na wametoa msimamo kuwa BADO CHADEMA HAIYATAMBUI MATOKEO YA URAIS na Dr.Slaa amesema yuko TAYARI KUTAJA MAJINA YA MAAFISA USALAMA WALIOSHIRIKI KWENYE UCHAKACHUAJI WA KURA kama atahitajiwa kufanya hivo mahakamani.

Mimi naona imekaa vizuri na imetulia. Acha Mkwere na UWT wake waendelee kupata matumbo joto. Mwaka huu lazima kieleweke maana CCM wamezoea kuingia Ikulu kwa kura za wizi. Namwaminia Dr. Slaa hakurupuki hasa tukirejea kumbukumbu kule nyuma ya LIST OF SHAME. Kwa hiyo tuna uhakika CHADEMA watakuja na kitu kilichofanyiwa utafiti wa kina ambao utawatikisa JK na Serikali yake.

Tusubiri.
 

Lorah

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
1,193
202
uwiiiiiiiiiiiiiiiiii mimi nazidi kuumia kwa kweli nikisikia hizia habari jamani.....:nono:
 

Mpasuajipu

JF-Expert Member
Oct 22, 2010
836
47
Wakuu leteni vitu maana tunanguvu kama za simba. Tunasubiri tamko mkuu tupe vituz. Mkwere mwaka huu lazima adondoke bungeni mara hii si mchezo.
 

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
220,713
728,539
Nimesikia sasa hivi toka Clouds FM kwenye taarifa ya habari kuwa Dr.Slaa keshaongea na Waandishi wa habari akiwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe na wametoa msimamo kuwa BADO CHADEMA HAIYATAMBUI MATOKEO YA URAIS na Dr.Slaa amesema yuko TAYARI KUTAJA MAJINA YA MAAFISA USALAMA WALIOSHIRIKI KWENYE UCHAKACHUAJI WA KURA kama atahitajiwa kufanya hivo mahakamani.

If this is true I am relieved........................It is really good news particularly when there is none.........................How can an election thief now form a government? This nation deserves better than this nonsense..........................
 

PayGod

JF-Expert Member
Mar 4, 2008
1,259
56
kweli ameonge na chanel ten wameripoti na kuonyesha picha bila dr slaa kuzungumza
 

We can

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
678
46
Channel Ten wameniudhi sana, they are not balanced. Issue ya Mch. Mtikila kutaka kuishitaki NEC hawakutaka asikike sauti yake LAKINI issue ya Mchungaji Mtikila kuikandia CHADEMA, wamemwacha akaboronga huyooo. Issue ya Dr. Slaa kuongea pia hawajamwonyesha akiongea. Cha ajabu wakaonyesha Synovate wakiongea upupu. Nawapa ushauri wa bure Channel TEN, Si CCM wala TLP, wala CHADEMA wanaofurahia BIASENESS hiyo. Tambueni kuwa, ktk ulimwengu wa uwazi, ni vema ukawa balanced, ukaficha hisia (imotions) zako.

pls, pls...
 

Juaangavu

JF-Expert Member
Nov 3, 2009
935
132
Channel Ten wameniudhi sana, they are not balanced. Issue ya Mch. Mtikila kutaka kuishitaki NEC hawakutaka asikike sauti yake LAKINI issue ya Mchungaji Mtikila kuikandia CHADEMA, wamemwacha akaboronga huyooo. Issue ya Dr. Slaa kuongea pia hawajamwonyesha akiongea. Cha ajabu wakaonyesha Synovate wakiongea upupu. Nawapa ushauri wa bure Channel TEN, Si CCM wala TLP, wala CHADEMA wanaofurahia BIASENESS hiyo. Tambueni kuwa, ktk ulimwengu wa uwazi, ni vema ukawa balanced, ukaficha hisia (imotions) zako.<br />
<br />
pls, pls...
<br />Mwalim historia kuna siku atawaumbua, hayajui ya kwamba hakuna chama kitakachotawala milele, ila Tanzania itakuwepo kwa muda mrefu zaidi na hapo ndo mambo yatakapoihukumu Channel 10
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom