Kuna shinikizo la CCM kuhesabu kura baadhi ya sehemu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna shinikizo la CCM kuhesabu kura baadhi ya sehemu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Binti Maria, Nov 1, 2010.

 1. B

  Binti Maria Senior Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna taarifa za uhakika kwamba kule walikoshindwa, CCM wanataka uhesabuje kura urudiwe. Huko Karagwe Mkuu wa Mkoa ameagiza na anajarbu kushinikiza kwamba kura zihesabiwa upya. Vivyo hivyo Nyamagana, Ilemela, Arusha Mjini, etc. Kitakachotokea kama CHADEMA watakubali hili ni kwamba jamaa watatumbukiza makura yao na ndio utakuwa mwanzo na hitimisho la uchakachauji. Huku sio kutengeneza mgogoro kweli??!!
   
 2. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  Kura zinahesabiwaje upya wakati kila kitu kimemalizikia vituoni? Huo mchezo CHADEMA wasiukubali hata kidogo.
   
 3. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Why would Mkuu wa mkoa order a recount?
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hayo yangewezekana miaka ilee ya nyuma, si leo
   
 5. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,937
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  Toa porojo.
   
 6. firstcollina

  firstcollina JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  What follows ni vurugu. labda iwe katika first counting hawakusaini.
   
 7. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Washindwe kabisa. wasicheze na uhai wa watu. Jamani pigeni kampeni watu waamke. Mayoweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 8. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,974
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mkuu wa mkoa aagize yeye kama nani kwenye masuala ya uchaguzi??
   
Loading...