Ile thread ya wakubwa ilienda wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ile thread ya wakubwa ilienda wapi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Binti Maria, Mar 10, 2010.

 1. B

  Binti Maria Senior Member

  #1
  Mar 10, 2010
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani ile thread ya watu wakubwa ilipelekwa wapi? Kila nikiitafuta siioni, sasa wengine tulishazoea kupitapita huko kuweka mambo sawa, sasa inakuwaje tena mmeitoa? Irudisheni tafadhali kabla hatujaandamana
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Fafanua vizuri ya wakubwa kivp au zile za utupu?
  Mwone Maria Roza au tuma PM kwa Invisible atakuunganisha na wewe uwe unaenjoy.
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  Hahaha Jukwaa la wakubwa au Thread ya wakubwa !!
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  nyuzi za wakubwa zipo nyingi...ni upi huo unauzungumzia?
   
 5. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  :DBM na ww ni mtu mzima???:D
   
 6. B

  Binti Maria Senior Member

  #6
  Mar 11, 2010
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe, wewe ulifikiri mie makida au unataka uthibitisho gani?
   
 7. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nilidhani wewe ni binti yake Maria Roza vile? Si umuulize akupe direct line? Binti hufunzwa na mamaye vizuri zaidi kuliko na babaye ati.
   
 8. JS

  JS JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ??????????[​IMG][​IMG]
   
Loading...