Inaskitisha sana hawa jamaa wanajiita wajeda makuruta kiukweli wanawadharirisha sana watu ktk zoezi bila kujali umri wanajiona mungu watu inakera sana but kumbukeni huku vijijini mtaumia watu wanalalamika sana kudharirishwa Bila sababu vijijin mtalogwa minguvu pelekeni makambin huko so bored...
1.Kwanza jitaidi sana usiwe mchoyo wa knowladge ulionayo kwa wenzio kuwa muwazi pengine unaweza ukawa una tango umekaa nalo..
2.Jitaidi sana kuwa mtu wa practical sana na kujipangia project mbalimali binafsi za kuzifanya bila kusimamiwa..
3.Epuka sana kujifanya unajua yote na umeshakamilika...
guys hivi kuna mtu yoyote alietokea diploma kapangiwa mkopo tujuzane manake mpaka sasa about loan no direction raisi mtukufu na waziri wa elimu tunawaomba angalieni hili watu wachache wanawatesa wenzao kwa pesa zao tena vigezo visivyo na maana yoyote mara umri mara nini kwa kifupi bodi ya mikopo...
UTOAJI WA MIKOPO KWA WANAFUNZI MWAKA 2016/2017
Baada ya kukamilisha zoezi la Uchambuzi wa maombi ya Mikopo 88,163 yaliyopokelewa hadi kufikia tarehe 11 Agosti, 2016. Jumla ya Wanafunzi wapya 20,183 wamepangiwa Mikopo. Upangaji huu umezingatia vigezo vilivyomo katika mwongozo wa utoaji wa...
Serikali ipo katika mkakati wa kuwabana wanafunzi wanaopewa mikopo katika fani za kipaumbele, kutumikia katika utumishi wa umma nchini kwa muda fulani ili kuhakikisha dhamira ya serikali ya inatimia. Fani hizo ni sayansi za tiba na afya, ualimu wa sayansi na hisabati, uhandisi wa viwanda...
Kuna kitu mi sijaelewa katika hii serikali hasa katika elimu. Wamebania sana vijana kupata nafasi za kusoma ngazi za juu katika fani mbalimbali hasa za ufundi na teknolojia na hata kwa waliofaulu nafasi za vyuo zimebanwa.
Utaona admission capacity watu 20, jaman hivi hiyo Tanzania ya viwanda...
Jamani hii ni serious issu naombeni msaada kwa yoyote anaeijua shule nzuri inayofaulisha sana wanafunzi wa masomo ya sayansi advance mkoani Mbeya please ni serious utani majungu yakaushie.
kutana na kazoa a.k.a chauroho....na wakali kibao wa commedy nadhani ilikuwa inaoneshwa e.a tv miaka kama 3 iliopita na sasa wameludi kwa episode mpya kama unamkubali kazoa stay tuned jamaa nawakubali sanaaa
jamani mi nlikuwa nauliza kwa wanaojua hivi bodi ya mikopo inaposema mwsho tarehe 30 kupokea maombi inaansha ni mwisho kwenye system tu au hata posta au ukichelewa kutuma hard copy ulioprint haitapokelewa ............(majungu matusi achana nayo kama hujiskii kucomment kausha).
Daaaa! Sasa kwa wengine ndoto ya kwenda chuo kikuu imebaki kuwa ndoto kwa hawa wakubwa kuweka hiyo kwamba gpa 3.5 kwenda juu mtu wa diploma na form 6 point 4 kupanda.
Jamani kweli tutafika halafu imetolewa leo watu wameomba mikopo halafu hawana sifa ya 3.5 eeeeee Mungu wetu angalia kundi la...
1.hawapend ukweli 2.Hawakosagi maneno hata kwa wasichokijua 3.mabingwa wa kujitetea na kuongea sana hata non sense 4.nguvu nyingi kufuatilia maisha ya watu 5.Kujisifia mbwembwe umefika 6.Kufikili kuwa na wapenzi wengi ujanja 7.starehe kupenda sana kuliko kazi 8.kutopenda mafanikio ya mtu...
Kweli bongo movies badala ya kusonga tunarudi nyuma saaana hiyo ni movie Flan ya action ila ukiangalia utacheka sana hivi why tunafeli kuandaa movie za kimataifa vituko tu jambaz bila koti kubwa miwani mieusi na aongee kwa ukali au sura mbaya yaaan pumba tu bora niangalie katoon sjui why...
Kama imetokea umeachwa na mtu umpendae inaumiza sana mwanzo lakin badili tu namna ya kuwaza na kuwazua huyo sio malaika wala nn na hayupo pekeake na haujazaliwa nae futa machozi na shukuru sana amini amekupa nafasi adimu saaaana ya kumtafuta mtu sahihi zaid na bora zaid yake so jipe furaha songa...
Ni sahihi kwamba Moja ya kitu kinacholeta umaskin uzee shida na migogoro ni mapenzi kuachana kulumbana stress mpaka mtu anakosa nguvu kiutendaji kunahaja kwel ya kuwepo maspecialist wa hii inshu maana ni taaabu sasa vijana kwishi ney hata mambo yamsingi hawawaz anapokutana na hiyo stress
Kwel kama mwanaume inatakiwa ikifika wakat uwe na maamuz magumu na moyo wa chuma.... Umeachwa na mpnz unampenda bado ktk harakati za kuyajenga anakuchana ati unanipigia pigia simu kwani unanidai jaman...... Hapo kama mwanaume maamuz gani kuchukua ya busara hasira upole au kikatili na bado...
Ilikuwa vgumu sana kujua na kutambua nini kinaendelea kadri siku znaposonga wakat wa kupumzika yaaan usiku Ilikuwa ni kama muda wa sindano yenye maumivu makali sana yanayosababishwa na ndoto ya aina moja ya kutisha sana guys hivi nini maana ya tafsiri ya ndoto ya nyoka usiku mtu kuota manyoka...
At kweli kwamba vijana skuiz sura zao na umri haviendani wanazeeka mapema na nikiwa kwa gari naelekea Dodoma nkamskia mtumish wa mungu at dhambi huzeesha sana mmmm mie kwa upande wangu msongo wa mawazo vyakula kujitunza kazi ngumu na mapenz hasa mapenz ya stress ndo vnachangia na ile kitu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.