Eenh kamzidi hadi Yesu?Huyo jamaa anamipasho mno.
Anachezea timu ya soccer ya Manchester City hajazidiwa kiuchezaji na Yesu wengine katika historia ya soccer duniani... Jesus NavasUtapata unachokitafuta. Ngoja waje. Utajuta.
Utaolewa, mdai anamdai mdaiwa, mdaiwa anadiwa na mdai, je mdaiwa akimdai mdai.Yesu Wa bongo?
Mbona kashfa tena mambo ya kuolewa wapi na wapiUtaolewa, mdai anamdai mdaiwa, mdaiwa anadiwa na mdai, je mdaiwa akimdai mdai.
Akapiga tonge la kwanza..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cha uroho namkubali kinoma.
Sitaki kukumbuka ile scene anayokula kuliko wenzie huku anadai anaumwa.