Hivi unanipigia pigia simu kwani unanidai jamani?

Bizzmc

Senior Member
May 2, 2016
187
184
Kwel kama mwanaume inatakiwa ikifika wakat uwe na maamuz magumu na moyo wa chuma.... Umeachwa na mpnz unampenda bado ktk harakati za kuyajenga anakuchana ati unanipigia pigia simu kwani unanidai jaman...... Hapo kama mwanaume maamuz gani kuchukua ya busara hasira upole au kikatili na bado wampenda bibie......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom