Bizzmc
Senior Member
- May 2, 2016
- 187
- 184
Daaaa! Sasa kwa wengine ndoto ya kwenda chuo kikuu imebaki kuwa ndoto kwa hawa wakubwa kuweka hiyo kwamba gpa 3.5 kwenda juu mtu wa diploma na form 6 point 4 kupanda.
Jamani kweli tutafika halafu imetolewa leo watu wameomba mikopo halafu hawana sifa ya 3.5 eeeeee Mungu wetu angalia kundi la watu wataokuwa mtaani sijui tunaenda wapi Tanzania basi punguzeni ugumu wa mambo maisha magumu nyie wenye madaraka jamani.