Ati vijana wasikuiz wanaonekana wazeee kwa sababu

Bizzmc

Senior Member
May 2, 2016
187
184
At kweli kwamba vijana skuiz sura zao na umri haviendani wanazeeka mapema na nikiwa kwa gari naelekea Dodoma nkamskia mtumish wa mungu at dhambi huzeesha sana mmmm mie kwa upande wangu msongo wa mawazo vyakula kujitunza kazi ngumu na mapenz hasa mapenz ya stress ndo vnachangia na ile kitu ya kujilidhisha bafuni kwa visume.... Mtazamo tu
 
Back
Top Bottom