bod ya mikopo mwisho tarehe 30 kupokea maombi ktk system au na posta pia

Bizzmc

Senior Member
May 2, 2016
187
184
jamani mi nlikuwa nauliza kwa wanaojua hivi bodi ya mikopo inaposema mwsho tarehe 30 kupokea maombi inaansha ni mwisho kwenye system tu au hata posta au ukichelewa kutuma hard copy ulioprint haitapokelewa ............(majungu matusi achana nayo kama hujiskii kucomment kausha).
 
hiyo mikopo tutapata kwel
Hata Mimi sijapeleka til now.. Ila for wat I think wale wa ijumaa jioni jumamosi na Jumapili..form zao bado hazijapelekwa kwaiyo by kesho Monday cku ya Kazi ndo watapeleka za from ijumaa. Kwaiyo wat to do peleka kesho asubuhi just like I will do. Watazijumuisha na za hao wa kuanzia ijumaa.
 
Na TCU deadline ni lini?
 
Back
Top Bottom