Bizzmc
Senior Member
- May 2, 2016
- 187
- 184
1.hawapend ukweli 2.Hawakosagi maneno hata kwa wasichokijua 3.mabingwa wa kujitetea na kuongea sana hata non sense 4.nguvu nyingi kufuatilia maisha ya watu 5.Kujisifia mbwembwe umefika 6.Kufikili kuwa na wapenzi wengi ujanja 7.starehe kupenda sana kuliko kazi 8.kutopenda mafanikio ya mtu 9.ulalamishi na ubishi hata usio msaidia 10.Ubinafsi kiburi