Bizzmc
Senior Member
- May 2, 2016
- 187
- 184
Kuna kitu mi sijaelewa katika hii serikali hasa katika elimu. Wamebania sana vijana kupata nafasi za kusoma ngazi za juu katika fani mbalimbali hasa za ufundi na teknolojia na hata kwa waliofaulu nafasi za vyuo zimebanwa.
Utaona admission capacity watu 20, jaman hivi hiyo Tanzania ya viwanda itatokea kwa kuendeshwa na waomi wachache? Binafsi naona ishu ya elimu haina mwelekeo zaidi ya kuharibiwa tu.
Utaona admission capacity watu 20, jaman hivi hiyo Tanzania ya viwanda itatokea kwa kuendeshwa na waomi wachache? Binafsi naona ishu ya elimu haina mwelekeo zaidi ya kuharibiwa tu.