Search results

  1. MR BINGO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    I was impressed by the way they were defending https://youtu.be/amesJ0nAZKo?si=tMdMC8r5-AsTN2B2
  2. MR BINGO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    I was impressed by the way they were defending https://youtu.be/amesJ0nAZKo?si=tMdMC8r5-AsTN2B2
  3. MR BINGO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Atalanta sidhani kama amecheza deep block naona kama walikuja na mbinu ya kukabia juu mashambulizi yanapoanzia ndo maana ulikuwa unaona Allison akiwa na mpira hakuwa na pa kuupeleka kwa sababu kulikuwa na watu watatu pale mbele Wanazuia asipate option ya kuanzisha mashambulizi ikawa inamlazimu...
  4. MR BINGO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    hii mechi hata tucheze Hadi keshokutwa hatuwezi kufunga.
  5. MR BINGO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    kwa kweli Mimi sijaona timu ambayo imefanikiwa kufanya Liverpool icheze very uncomfortable msimu huu kama Atalanta......yaani wametuvuruga u hezajinwetu Hadi basi hii aina yao ya ukabaji need to be studied aisee.....yaan Leo kidogo tumejitahid kuunlock lakini napo ni mpak Salah abadilishane...
  6. MR BINGO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Leo tumezidiwa kwa mara ya kwanza msimu huu tumezidiwa fair & square kudos Gasperini
  7. MR BINGO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    we don't deserve a league cup because of our today performance
  8. MR BINGO

    Nani apewe maua yake kwa review kali za magari: Abel Shoo wa east cars, Dr. Mechanics, Mshana Jr au Samatimes

    Samatime Hana mpinzani kwenye uandishi East cars Yuko vizur ila I will go with Dr mechanics
  9. MR BINGO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    tell me you were not watching Liverpool games without telling me "you were not watching Liverpool games" nigga klop miaka yake mitatu kama siyo minne ya mwanzo alikuwa anachezesha vijana Sana tu kwenye hizo carabao na FA ukiuchimba huu Uzi wenyewe utakuonyesha jinsi gani watu walikuwa...
  10. MR BINGO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Sasa rasmi wavulana ELLIOTT KELLEHER wamekuwa wanaume
  11. MR BINGO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    I was impressed by Elliott yesterday ila nadhani inabid pale mbele wawe wanabadilishana position maana 1st half Diaz alifichwa Sana na yule dogo Rasta (mengi)....Diaz awe anaenda kwa Elliott, Elliott acheze kati kama false 9 na gakpo akae kwa Diaz kuwachanganya wapinzani
  12. MR BINGO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    timu imecheza vizur juzi tu hapa na yeye kaiona Leo kawaacha wachezaji karibia wanne nje...ntamwelewa kwa szobo ambaye alikuwa anaumwa ila kwa Nunez na Bradley amekosea aisee Grav's naye bado Hana Ile fluidity ya EPL Bora hata dogo Elliott
  13. MR BINGO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    klop mtoe huyo mholanzi aisee
  14. MR BINGO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    TAA kikombe alichomnywesha Clyne nahisi hicho hicho anaenda kukinywa yaan TAA anapasha dogo Bradley anampiga bonge moja la assist kwa Diaz kama ni kocha mwingine unaweza kuona aibu kumtoa unamwambia TAA arud kwanza kwenye bench On a serious note though Trent anatakiwa Sasa apambanie kombe...
  15. MR BINGO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    that's the Liverpool Way ndugu yangu Nunez angekuwepo Tz tungesema amelogwa aisee Leo utulivu alikuwa nap wakutosha sema ndo hivyo kila kila akiona mpira umetoka kwa Nunez anageuka kuwa prime De gea
  16. MR BINGO

    Wenye nyumba kuweni waelewa

    Nakuombea siku na wewe uwe mwenye nyumba ili ujue wanayopitia Real estate business in Tanzania ni pasua kichwa just imagine mtu akienda dukani analipa Cash na hata akikopa analipa ila akidaiwa na mwenye nyumba anaona anasumbuliwa kuliko kujenga nyumba ya kupangisha zingatia location tu utoe...
  17. MR BINGO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Jones has been Fabolous tuombe Mungu wasimuumize Tena maana injini yake ni ya Diesel Inachelewa kuchanganya Diogo Jota that's someones you can count on (mchezaji ambaye ukimuona benchi wakati mambo ni mabovu kidogo unapata tumaini)he is giving Dirk kuyt vibes Diaz had ana amazing performance...
  18. MR BINGO

    Papi Kocha na babu Seya! Mbona kimya sana?

    pesa za live band zinakusahaulisha kwenda studio muulize Banana Zoro
  19. MR BINGO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    [emoji419]said it.....we lost two easy points hiyo ya arsenal nayo ni a must win game maana unai naye hana urafiki na sisi kabisa maadui wanakuwa wengi tu -Mwanangu szobo sijui wamempiga misumari aisee[emoji18]
Back
Top Bottom