🎯HILI LINASIKITISHA SANA NA KUFURAHISHA PIA.
By Lackson Tungaraza
♦️Pichani ni mchezaji wa mpira wa miguu katika kilabu ya Manchester United iliyopo Uingereza.
Jina lake ni HARRY MAGUIRE na anacheza katika nafasi ya beki wa kati.
Harry Maguire alisajiliwa kwa pesa nyingi sana katika kilabu...
Kwenye laptop niliyokuwa ninatumia kukiandaa, nilikuwa nimetengeneza Folder maalumu kwa ajili ya kazi hiyo.
Ndani yake nilijaza screenshot ya hatua zote (muhimu) ambazo mtu yeyote (beginner) anaweza akazifuata na kuishia kutengeneza matangazo ya Sponsored ads yenye matokeo mazuri.
Ila kila...
SIMULIZI INAYOWEZA KUBADILI MAISHA YAKO KWA ZAIDI YA 79%
▪"Kwa Kweli Mwenyezi Mungu hakukosea Kabisa Kuniumba. Tazama Uso Wangu unavyong'ara, Ngozi Nyororo, Jicho Zuri kuliko la Ray C, Kila Nguo inanikubali hata nikivaa Gunia na Dekio, hakuna kama Mimi hapa Mtaani na Kule Mtandaoni, Mwonekano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.