story za mapenzi

 1. K

  Ushauri wenu: Kuna umuhimu kuridhisha wakwe wa siku hizi?

  Salam sana, naandika hapa nikiwa sina ujuzi wowote wa kiuandishi, kwenye makosa mtanisamehe. Ninachotaka kuelezea hapa na kuomba ushauri wenu ni experience yangu binafsi ambayo nadhani sijapata mtu sahihi bado wa kuongea nae vizuri akanielewa. Mimi ni kijana fulani wa makamo, katika miaka ya...
 2. Abubakari M N

  Simulizi: Kinu cha Mama, sehemu ya 6, 7, 8 na 9

  6. Tamaa Haifi. Hunyumbuka. Erick Kupaza alistaajabu sana kwa namna gani mama yake aliweza kumwambia shoga yake juu ya uhusiano wao. Alijihisi fedheha kila alipokuwa akimuona Haika. Lakini hiyo hali haikudumu naye kwa muda mrefu kwa maana alianza kuendana nayo. Hisia ni duara. Leo furaha kesho...
 3. Abubakari M N

  KINU CHA MAMA, SURA YA 5

  5. Balaa La Kisketi Haika R. Lymo alifika nyumbani kwa rafiki yake baada ya wiki kama alivyoahidi. Alifurahi kuonana na rafiki yake kipenzi. Mwendo ulikuwa ni kupiga soga na vicheko visivyoisha. Lakini katika mazungumzo yao yote Rose hakuthubutu hata thumni kumropokea shoga yake kuwa alikuwa...
 4. Abubakari M N

  Simulizi: Kinu cha Mama

  KINU CHA MAMA Mussa N. Abubakari UTANGULIZI. Hii ni bunilizi tu. Usijaribu kugeuza maoni kuwa ukweli na kuharibu maisha ya watu. ZINDUKO; Moja ni jibu, Ngono hutibu. 1. Romantic Star Alishuka. Akasimama, kisha akaangalia kushoto na kulia. Erick Kupaza alifurahi kurudi nyumbani kwao. Sio tu...
 5. Gily

  Kwako kipimo cha mke bora ni kipi?

  Kitanda changu ni nne kwa sita, mke wangu aisee ana staha sana. Kinachofurahisha Zaidi ukimshika mgongo nywele zinasisimka, ukimshika paja linatelezaa tu, ukimnong’oneza mpaka nywele za kichwani zinasimama, ukimbinya hata sauti inabadilika “mm m-mm-e wangu” Ukimaliza anashukuru na siku...
 6. truthone

  Kusoma story za mapenzi mtandaoni

  Nilikua nauliza je ninaweza kupata madhara yeyote kwa kuzisoma na madhara hayo ni yapi cunajua ncje nkawa addicted bora njue mapema Karibuni.
Top Bottom