likes

Like for Likes (Korean: 좋아해줘) is a 2016 South Korean romantic comedy film directed by Park Hyun-jin. It was released in South Korea on February 17, 2016 by CJ Entertainment.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Anayestahili kuomba like ni mwenye Youtube channel, wengine kama hamna cha kuchangia mkae kimya. Acheni kujaza comments za kuomba likes

    Imekuwa too much sasa, video unaicheki youtube unaanza kusoma comments za mrejesho, ushauri, ukosoaji, nyongeza, n.k. Ila unakutana na comments za kuomba likes. Wanakera sana hawa watu Uki comment cha maana utapewa like bila kuomba,
  2. M

    Mashabiki wa Cape Verde toka mwanzo wa Afcon gonga Likes😉

    Nilishatabiri mwamba wa hii Afcon ni Cape Verde. Sasa mtaniamini mtapoona South Africa yule kenge msupport magaidi wakipalestina anakalishwa mpaka anaomba poo pale mtondogoo... Mimi ni Octopus Paul nimemtabiri Cape Verse mechi zote na sijakosea hata moja. Hili kombe linaenda kwa underdog
  3. Teslarati

    Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

    Kuwa off wiki ambazo walevi wenzio ndo wamebananika kazini shida sana. Ngoja nipoteze muda kuongelea hili swala la raraa reree Huyu ndugu yetu ana kiwanda cha likes, hebu nipe siri na mm niwe natoa likes hvo, au jamaa ni BOT?
  4. K

    Hakuna Msanii/Mtanzania yeyote anayemfikia Kili Paul kwa likes na comments Instagram, na wala haringi

    Huyu Mwamba anatisha sana huko Instagram anafikisha likes Milions na Comments nyingi, kuliko kina Diamond na wala haringi, wala Watanzania hawamjui kivile. Big up sana Mwamba kwa ubunifu uliotukuka.
  5. Unique Flower

    Tupeane LIKES

    Watu wajf mseme mtu vizuri na mpe like yake. Mie ninao wengi nawapa team yote ya JamiiForums heri ya mwaka mpya kuanzia director, manager na wafanyakazi wote wa JF. ERoni , Glenn DeepPond sophy27 Cillah mzabzab Depal Lenie Extrovert Unique Flower Kelsea To yeye Love Doctor Lovelovie Chakorii...
  6. M

    Wazee tunaotumia Infinix tupeane likes kwa kugonga January na mgao wake hatusumbui kabisa

    Hizi ni simu za wazee wa kazi. Hazimalizi chaji hovyo January hata kama aweke mgao mwaka mzima ni kubofya tu kama tunapushi walevi.
  7. K

    Wapi Mzee wa likes mkwepu jr

    huyu mwamba anapenda sana kugonga likes za kutosha humu bila kinyongo, mkuu mkwepu jr hebu gonga like kwanza tuendelee kutambua uwepo wako
  8. Execute

    Huyu Mkwepu Jr ni nani? Anatoa likes kwenye mada na komenti za kila jukwaa

    Mbona kila komenti na kila jukwaa jamaa anagonga likes? Inawezekanaje mtu akawa amesambaa maeneo yote hayo?
  9. Mr Q

    Best Male Likes Giver Award goes to

    mkwepu jr Huyu jamaa azawadiwe hiyo tuzo na atambulike kuwa ndiye memba anaye mwaga likes kuliko members wote humu. Kama unabisha andika jina la memba mwingine ambaye unadhani anamwaga likes kwa kila comment ama thread anayokutana nayo. Weekend njema wote ambao mmeshaanza kulewa. Weekend...
  10. Stress Challenger

    Huko Nigeria watu wamepinda kutafuta likes

    Hii ni hatari watu Sasa hivi wanafanya upuzi kutafuta sifa za kijinga YouTube na TikTok. Kwenye hii video licha ya kuchekesha ingeleta madhara. Angalia nyundo ingemvunia Taya. Ujinga unaochekesha
  11. R

    Naipongeza TCRA kwa kumkomesha Polepole and the Likes: Massage sent!

    Ktk vitu ambavyo intelijensia haijachukulia mzaha ni pamoja na swala la Polepole. Hata kama mlichelewa kumfumba mdomo lakini atleast mmejaribu. Huyu Polepole tungemchekea mwisho wa siku tungevuna mabua Waswahili husema ukimchekea sana Mbwa itakuja siku atakufata msikitini. Haiwezekani mtu...
  12. L

    SoC01 Usilewe Likes na Comments: Simulizi inayoweza kubadili maisha yako kwa zaidi

    SIMULIZI INAYOWEZA KUBADILI MAISHA YAKO KWA ZAIDI YA 79% ▪"Kwa Kweli Mwenyezi Mungu hakukosea Kabisa Kuniumba. Tazama Uso Wangu unavyong'ara, Ngozi Nyororo, Jicho Zuri kuliko la Ray C, Kila Nguo inanikubali hata nikivaa Gunia na Dekio, hakuna kama Mimi hapa Mtaani na Kule Mtandaoni, Mwonekano...
  13. sky soldier

    Hii imekaaje, nakutana sana na likes za makipa wa mpira kwenye picha za mabinti Instagram

    Hapa sizungumzii warembo maarufu kama kina mobeto ambao watu wengi tunawajua, nazungumzia mabinti ambao ni raia wa kawaida tu, followers hata hawazidi elf 1. Wengi ni wadogo wa marafiki zangu ambao nimewafollow ama majirani, marafiki zao, n.k Ni mda mrefu sana nimekuwa nakutana sana na likes...
  14. sky soldier

    Mtu anaweza kununua views, comments, likes na subscribers. Zijue sababu na vikwazo

    Nimekuwa nikishangaa sana kiasi kufikia mpaka kuona aibu kwamba naishi na jamii ambayo ipo nyuma sana kwenye maswala ya teknolojia. Haya mambo ya kununua youtube views katika ulmwengu huu yapo tangu zaidi ya miaka 10 lakini inatia aibu kwamba hata baadhi ya wasomi wameuwa wabishi, Watu kununu...
  15. M

    Ni thread gani yenye viewers na likes nyingi?

    Habari Kama naomba tubadili kuhusu Mada apo juu na pia tuingalie kwanini imepata hadhi hiyo. Shukrani
  16. M

    The 7 Signs That Shows That A Girl Likes You

    The 7 Signs That Shows That A Girl Likes You Sometimes a woman likes the signs that you are things she intentionally does and other times they are subconscious. Whether she means to or not, if you ask her out, she will send you pretty clear hints about how she heels about you, and what her...
  17. A

    Kutumia telegram kuongeza followers, likes na comments za INSTAGRAM

    Kwa wale wanaopenda kuboost account zao za instagram kwa personal uses au biashara unaweza kutumia telegram kutimiza lengo lako. Pitia hapa kidogo " Also known as Telegram Pods, Telegram Groups, or Instagram Engagement groups, basically they are a group of people in a chat, created...
  18. Medecin

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
Back
Top Bottom