Search results

  1. sangujoseph

    Kwanini tunamuonea Joti?

    By Sangu Joseph Siku kadhaa Nyuma nilipata muda wa kutafakari kwa kina kuhusiana na Mchekeshaji Joti, nadhani kama Heshima anayopewa siyo anayostahili hapa kwetu Tanzania. Mimi kwangu binafsi @jotiofficial ni Moja ya watu ambao wanaifanya game ya Comedy itazamwe sana Bongo, na sababu kubwa ni...
  2. sangujoseph

    Harmonize angeomba hili kabla ya tuzo

    By Sangu J Nimeona madai ya Konde Boy Mjeshi, @harmonize_tz kuhusiana na kutokuwepo kwa Tuzo na kusema inafanya muziki wetu usipige hatua na ameeleza inafanya Wasanii wenye vipaji wasioneshe vipaji kwa sababu anaImpressions chache Mtandaoni. Hii hoja imenigusa Kwa sababu Tu siku kadhaa Nyuma...
  3. sangujoseph

    Sababu za Harmonize kumuacha kimuziki Ali Kiba

    . By Sangu Joseph . Kwenye Uchambuzi wangu nimeeleza huenda Alikiba akashushwa kimuziki na Konde Boy Harmonize, Kwa sababu Tu wanaomsupport Kiba ndiyo haohao wanaomsapoti Konde Boy. Kitakachokuja kutokea ni kugawana wadau na Konde atakua nso wengi zaidi Kwa sababu yeye anaproject nyingi Sana...
  4. sangujoseph

    Aslay, Rich Mavoko wanavyojishusha kimuziki

    . By Sangu Joseph . Unajua ukishakuwa Msanii Mkubwa kuna hatua 2 ambazo utajikuta unazipitia unategemea na hatua uliyokuwa nayo Kwa wakati huo na wewe unazihandle vipi. Hatua ya 1 ni KUSHAMBULIA Msanii anakuwa mshambuliaji pale ambapo huwa anakuwa anatoa Ngoma na zinahit Mtaani, kila mahali...
  5. sangujoseph

    Nandy usije kulia kama Vanessa Mdee

    By Sangu Joseph Njia ya kuanguka kimuziki ya Vanessa Mdee nadhani inafaa kuwa fundisho Sana kwa Wasanii wakike nchini lakini Kwa Leo naomba niidedicate Kwa Nandy zaidi. Inawezekana mkaniona wa ajabu Kwa hili la Vanessa kuliita anguko muziki Kwa sababu nalifananisha na anguko la Lina Sanga...
  6. sangujoseph

    Vanessa Mdee ni mwanakulitaka na amelipata

    By Sangu Joseph . Kwanza kabla ya yote nieleze masikitiko yangu na kuonesha kuhuzunishwa kwangu, na mambo aliyoyasema Dada na Msanii wetu Vanessa Mdee juu ya namna ambavyo wasanii wakike wanahaha ili kukidhi mahitaji Yao, Pole Sana. VMoney tumeona malalamiko yake akidai Kwamba mziki wa ni...
  7. sangujoseph

    Ombi langu la pili (2) kwa Rais Magufuli

    Baada ya siku chache kueleza ombi langu Kwa Rais Magufuli juu ya kuzitenga Sanaa na Michezo ziwe Wizara zinazojitegemea niliahidi kueleza ambavyo nadhani Serikali itajikusanyia Kodi nyingi kupitia Sanaa hasa baada ya kuonekana kukua Kwa Kasi zaidi Kwa 2019/20 (Rudi post zilizopita soma tena)...
  8. sangujoseph

    Aslay ana tatizo gani, mbona simuelewi?

    Hivi mnamuelewa Aslay, labda nianze kuwauliza ndugu zangu, maana nilishafikiria Sana mpaka nimeona niwasharikishe na nyinyi. Aslay ni Moja ya Wasanii Wazuri Sana Bongo na wanakipaji cha Hali ya juu Sana, na waswahili wa Mtaani wanamuelewa sanasana nadhani Kwa sababu wanamjua Mswahili mwenzao...
  9. sangujoseph

    Napendekeza Baraza lijalo la Mawaziri, Sanaa na Michezo zingekuwa Wizara 2 tofauti

    By Sangu Joseph Leo Juni 16, 2020 Rais Magufuli alizungumza Bungeni jijini Dodoma, kulivunja Bunge kama wanavyosema Wataalam, amezungunza mambo mengi sana, Ikiwemo Uchaguzi, Siasa, Uchumi, Sanaa, Elimu, natamani sana kuandika kuhusu vyote hivyo, lkn Leo nianze kwa kimoja cha Sanaa. Katika...
  10. sangujoseph

    Nani azifikishe salamu zangu kwa Ali Kiba?

    . By SanguJoseph Leo nataka tuwaze pamoja, Kwa nyinyi kupokea salamu zangu kwa Alikiba,, msianze kusema wewe Sangu J unachuki Zako binafsi na Kiba, mbona kila siku wewe unamuangalia kwenye kumkosoa na si kumpongeza jibu lako nitakwambia nafanya hivyo kwa sababu nahisi sehemu aliyopo Alikiba...
  11. sangujoseph

    Jinsi Majizzo atakavyomtumia B Dozen

    . By Sangu Joseph . Ebwana ni siku nyingine tena, natimiza ahadi niliyoitoa kwenye Andiko langu lililopita () juu ya maoni yangu namna ambavyo Boss Majizzo huenda akaitumia silaha yake mpya ndani ya EFM na TV- E. Kabla sijaenda ukiangalia kwa sasa EFM wako Transition period, kuna kundi fulani...
  12. sangujoseph

    Majizzo ni Ruge aliyebaki duniani

    By Sangu Joseph . Duuh kwanza nianze kwa kushangaa, kama ambavyo wengi tulishangazwa kuona taarifa ya kutua kwa BDozen, #DozenAmetua kwa Waswahili @efmtanzania na @tvetanzania hii taarifa kubwa kwa Wapenzi wa Media na Tasnia ya Burudani Bongo. Kabla ya kwenda mbali uwezo wa Bdozen hakuna ambaye...
  13. sangujoseph

    Kijana na Jambo langu na Jambo lako

    By Sangu Joseph Neno #JamboLangu nafuatilia likitiki Hilo tu nimetoboa ni moja ya lugha ambazo huwa hazikauki kwenye vinywa vya sisi Vijana wengi ambao tupo katika umri wa kutafuta maisha. Kuna vijana ambao huwa wanakua wawazi na wakweli Kwamba kuna mchongo huwa anausikilizia na ukifanikiwa...
  14. sangujoseph

    Msekwa asema Ndugai yuko sahihi kukataa maamuzi ya CHADEMA kuwavua Wabungge 4

    Spika Mstaafu Pius Msekwa akizungumzia juu ya kinachoendelea ndani ya Bunge kuhusu kuvuliwa Ubunge, kwa Wabunge 4 Chadema david silinde , Joseph Selasini, Wilfred Lwakatare, na Anthony Komu. . Mzee Msekwa amesema Spika Ndugai yuko Sawa kwenye uamuzi wake wa kukataa maamuzi ya CHADEMA. Msikilize...
  15. sangujoseph

    Hatma ya wabunge waliokataa agizo la CHADEMA la kutohudhuria bungeni

    . By Sangu Joseph . Nimewaza sana juu ya kinachoendelea ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, hasa ule uamuzi wa baadhi ya Wabunge wake Lijualikali, Silinde, Jafary kuamua kukiuka maagizo ya chama chao kuna baadhi ya mambo ambayo mimi nimeyahisi yanaweza kutokea. Kwanza Wabunge...
  16. sangujoseph

    Umri muhimu kijana kupiga hatua

    . By Sangu Joseph . Wakati tukiendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa wa Corona, leo nimeona nichapishe mawazo yangu kuhusu na umri wa kijana na namna ya kufikia malengo yake mpaka anafikia mafanikio. Mimi kwangu binafsi naamini sana, kuwa umrri wa Kijana umegawanyika katika Makumi, kuna...
  17. sangujoseph

    Corona inavyotugawa watanzania tukemee hili

    By Sangu Joseph Tukiwa tunaendelea kuchukua tahadhari ya kupambana na Corona kuna tatizo moja kubwa nimeliona ambalo linaendelea kushamili sana ambalo linahatarisha umoja wetu kama Watanzania (Kunyanyapaa) Hili ni tatizo kubwa sana kwa sasa licha ya mwanzoni nililishuhudia kufanyika katika...
  18. sangujoseph

    Sababu kwanini hatuokoti hela kama zamani

    By Sangu Joseph Nimejaribu kufanya kautafiti uchwara juu ya kuokota hela na nikauliza watu mara ya mwisho umeokota hela lini na Kwanini sasa ni ngumu kuokota hela. Kila mtu alijibu lake Ila baadhi ya majibu ambayo watu waliyatuma nimeona yanamake sense Kidogo nikaona niyamwage hadharani. Mtu...
  19. sangujoseph

    Maisha yanavyoenda kasi sana Alikiba / Harmonize / Diamond

    By Sangu Joseph . Agosti 2019 : Harmonize alijiondoa WCB (Salam Alithibitisha) Januari 2020 (Harmonize alisaini mkataba wa kazi na Sayona (Endorsement) ) Januari 2020 - Harmonize akaanza Tour / Matamasha kama yote. March 2020 - Karelease Album tena uzinduzi wa kibabe. Aprili 2020 ...
  20. sangujoseph

    Nimeruka mtego wa 2 na Rais Magufuli

    By Sangu Joseph . Leo March 22 , 2020 nimemsikiliza kwa makini sana Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli, na nimeendelea kumsoma zaidi nakujua ni kiongozi ambaye anaujua uhalisia wa wananchi anaowaongoza, kama ambavyo Mimi niliwaza majuma kadhaa yaliyopita. ( Nilipita kituo cha Daladala, Sokoni...
Back
Top Bottom