Msekwa asema Ndugai yuko sahihi kukataa maamuzi ya CHADEMA kuwavua Wabungge 4

sangujoseph

Senior Member
Nov 30, 2015
164
183
Spika Mstaafu Pius Msekwa akizungumzia juu ya kinachoendelea ndani ya Bunge kuhusu kuvuliwa Ubunge, kwa Wabunge 4 Chadema david silinde , Joseph Selasini, Wilfred Lwakatare, na Anthony Komu.
.
Mzee Msekwa amesema Spika Ndugai yuko Sawa kwenye uamuzi wake wa kukataa maamuzi ya CHADEMA.

Msikilize

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa Mzee Msekwa atakula matusi mpk basi haaaa haaaa

Sent using kidole gumba
 
Mzee Msekwa kasema wote wapo sawa kwa maana Spika wa bunge na Chadema,maamuzi ya spika yametokana na mazingira yaliyopo hata mahakamani hutokea.
 
Sijawahi kumsikia mzee Msekwa akijichanganya kiasi hiki ameaibika vibaya sikiliza hiyo clip utacheka mwishoni.
 
Hivi mnafikiri huyu Mzee angesema vingivevyo..mnataka wakate pembeni zake zote.

Hawa wazee hawana sauti tena!!
 
Mkitaka kumjua vizuri huyo Msekwa kuwa anawaza pensheni yake tu, Muulizeni kuhusu Ndugai kumuita Mwambe aendelee na ubunge wakati tayari alishatangaza kuachana na CDM na kujiuzulu ubunge.
 
Kila mtu anaishi kwa hofu, mnategemea aseme nini sasa?
JIWE anaweza akapeleka mswada hawa wazee wakafutiwa MAFAO YAO MAKUBWA mno wanayokula, yaani kuliko hata daktari bingwa anayepasua watu mioyo na ubongo pale muhimbili na KCMC kila siku
 
Chadema hawajamvua mtu yoyote ubunge wao pia wanalijua hilo, isipokuwa wanayo haki ya kumfukuza uanachama mwanachama yeyote bila kuhojiwa toka nje. Inawezekana Msekwa hajui kinachoendelea.
Na kama chama kimefuata taratibu zote kwa usahihi maana yake ni kuwa mbunge akifukuzwa chama anapoteza na ubunge pia kutokana na matakwa ya kisheria kuwa mbunge ni lazima mwanachama wa chama cha siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeisikiliza hiyo Clip ikabidi nicheke sana.
Kweli njaa ni mbaya, na vizee vya kiCCM havina tofauti na vichawi.

Msekwa anasema CHADEMA wapo sahihi na Spika yuko sahihi!!
Na yeye Msekwa hayuko tayari kujibu nadharia yoyote.
 
Back
Top Bottom