Wakuu,
Mimi nikijana ninafanya kazi kwenye taasisi moja nchini kama Volunteer kwa muda wa miezi sita sasa.
Mwanzo nilikuwa nafanya kazi kwenye moja la shirika kubwa na mshahara mzuri sema mkataba uliwahi kuisha.
Hivyo Sehemu nayofanyia kazi kwa sasa nalipwa laki 3 ambayo hiyo hela...
Habari nina pikipiki Used ina mwaka mmoja.
Natafuta kijana wa kumpa mkataba Awe ana nipa Elfu 10 kwa siku.
Baada Ya miezi nane nitampa kadi.
Eneo liwe Dar.
Habari.
Kuna mwamba mmoja TikTok anaitwa Godfather, ana kauli mbiu yake moja ya "Vijana tafuteni hela". Kiuhalisia mimi kwa upande wangu naona anachoongea ni kweli, sema changamoto ni kwenye uwasilishaji Tu.
Vijana wamecharuka na kuanza kumpiga majungu kwa kuwa, anamiliki Crown na hela...
Habari wakuu..
Mimi mhitimu wa Ordinary diploma in Nursing and Midwifery overall GPA 4.5
Advance Level sikusoma.
Form Four Nina Division Three.
Ndoto yangu kubwa na wazo langu ni kusoma abroad course mojawapo ya afya.
Je una lipi la kunishauri na ninaanzia wapi kufuatilia scholarship ili...
Za masiku wakubwa na Wadogo jf,
Kiuhalisia kwenye Maisha inaweza kutokea ukafanya maamuzi hadi jamii yako ikakushangaa.
Nilipohitimu kidato cha nne mwaka 2014 nilifanikiwa kufaulu vizuri kwa Divs 2 na kupangiwa shule moja ya serikali kiuhalisia sikuweza kwenda nikaenda shule moja ya advance...
Habari zenu Wakuu.
Tuendelee kumshukuru Mungu kwa kutupa uhai Tukiwa Tunaendelea kupambana na hili janga.
Leo Tarehe 12/5 kila mwaka siku ya Wauguzi Duniani.
Wauguzi au Nesi wamekuwa na msaada mkubwa kwa mgonjwa yoyote pindi anapokuwa katika eneo la kupata Huduma.
Wameweza kupambana sana...
Habari wakuu...
Nipo hapa ninasikiliza Lusekelo chanel 10..
Nimeshindwa kumuelewa hata anachozungumza.
Hakuna kifungu hata kimoja cha bible anatumia.
Anaongea kwa jazba hadi kutukana kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari Wakuu.
Kiuhalisia sasa ni Muda sahihi wa serikali kufungua shule kuanzia shule za msingi hadi vyuo vikuu kama likishindikana hili basi Madarasa ya mtihani yangerudi kwenye system ya Elimu.
Kwanini Naongea Haya..
1. Turitarajia ugonjwa tuone ukiwa kwenye peak kubwa ya maambuzukizi...
Nina kama hoja mbili ambazo nataka tuhojiane Juu ya mfumo mzima wa Elimu ya Tanzania unavyondelea Juu ya likizo hii ya Corona
1..Hoja ya Kwanza mpaka sasa shule kuanzia ngazi ya awali hadi Vyuo vikuu haijaeleweka vinafunguliwa lini? Swali la kujiuliza kufunguliwa kwa vyuo si kwamba ugonjwa...
Habari zenu Wakuu..
Mimi ni kijana ambaye ni muathirika wa likizo isiyojulikana..
Nimefanikiwa kupata laki moja nimeamua nianze kufanya biashara yoyote..
Naombeni Mawazo ya Biashara wakuu Tukizingatia na janga hili la korona
Nipo Mkoani (Njombe)
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za mchana Wana MMU.
Tukiwa tunaendelea kupambana na hili janga la Corona tunaamini ya kuwa Mungu atatufanyia wepesi na kuvuka katika hili.
Kilichonileta humu ndani ni Ushauri wa mawazo wakuu kwa hali ninayopitia kwa sasa.
Hiko hivi Mimi ni kijana mwenye miaka 25 na pia ni mwanafunzi wa...
Wakuu habari za asubuhi.
Poleni sana na janga ili la Corona linalotusumbua Dunia nzima kwa sasa.
Kilichonileta hapa ni kwamba serikali ilitoa siku 30 kwa Wanafunzi kuwa kuanzia ngazi ya Awali hadi vyuo vikuu ambapo mpaka sasa zimesalia wiki mbili wanafunzi kurudi mashuleni. Nimekuwa...
Wakuu Habari za usiku,
Mimi ni mwanafunzi wa Uuguzi na ukunga (Nursing and Midwifery) ambaye ninahakikisha unazaliwa vizuri bila shida yoyote na hata ukizaliwa pindi utakapoumwa nakuhudumia na pia nina hakikisha una kufa kwenye Kifo kizuri (Peaceful death)
Tuachane na hayo nimekuwa nikijiuliza...
Habari wakuu,,
Huyu Dada nimetokea kuzoeana nae ni miezi sita sasa imepita sijawahi mtongoza ila maisha ninayoishi nae kama tupo kwenye mahusiano na hivyo ndivyo tujuavyo
Kilichonileta hapa wiki kama mbili zilizopita ni kuwa nae chemba nikataka kumfanyia massage mwanzoni hakuonyesha...
Habari wakuu...
Zikiwa zimebakia siku 6 kwa mujibu wa NACTE kutoa majina kwa waliochaguliwa kusoma cerificate na diploma kwa vyuo vya afya....
Lengo la kuanzisha thread ni kwa mambo makuu matano(5)
1..kupeana information juu ya mambo yanayoendelea juu ya mchakato wa central admission system...
Habari wakuu...
Mtoto wa maskini mimi nimejitahidi kufanya vizuri kwa matokeo ya form four na vigezo vyote vya kusoma course za afya ninavyo...
Japo kwa idadi ile ya watu walioapply course za afya kwa serikali ni Mungu tu anyeweza kukifanya ukapita salama..
Moyo wangu una amani kama siku moja...
Habari wakuu...
Mwaka 2015 nilibahatika kumaliza form four shule moja mkoani....matokeo yangu yakawakama ifuatavyo phy-C chem-C bios-C math-D geo-C hist-C civics-C kiswahili-C english-C...
Baada sikufanikiwa kupata selection za shule ila nilibahatika kwenda shule ya private mchepuo wa PCB sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.