Naombeni Ushauri nahitaji kwenda kusoma nje course ya Afya

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
606
500
Habari wakuu..

Mimi mhitimu wa Ordinary diploma in Nursing and Midwifery overall GPA 4.5

Advance Level sikusoma.

Form Four Nina Division Three.

Ndoto yangu kubwa na wazo langu ni kusoma abroad course mojawapo ya afya.

Je una lipi la kunishauri na ninaanzia wapi kufuatilia scholarship ili niweze kufanikisha dhamira yangu!?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom