Sijamuelewa huyu dada

Sijamuelewa huyu dada

Pure Scientific

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
716
Reaction score
644
Habari wakuu,,

Huyu Dada nimetokea kuzoeana nae ni miezi sita sasa imepita sijawahi mtongoza ila maisha ninayoishi nae kama tupo kwenye mahusiano na hivyo ndivyo tujuavyo

Kilichonileta hapa wiki kama mbili zilizopita ni kuwa nae chemba nikataka kumfanyia massage mwanzoni hakuonyesha kipingamizi ila muda baada alikataa kabisa mpaka nikaanza kumuogopa na kuniambia mambo makuu mawili
1..Namdhalilisha yeye

2. Nitamtangaza kwa marafiki zangu

Hii imekaaje wakuu?
 
Na Ulivyo MMBEA umekuja KUMTANGAZA jamiiforums
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Habari wakuu,,

Huyu Dada nimetokea kuzoeana nae ni mlezi Sita Sasa imepita sijawahi mtongoza Ila Maisha ninayoishi nae kama tupo kwenye mahusiano na hivyo ndivyo tujuavyo

Kilichonileta hapa wiki kama mbili zilizopita nlkuwa nae chemba nikataka kumfanyia massage mwanzoni hakuonyesha kipingamizi Ila Muda baada alikataa kabisa mpaka nikaanza kumuogopa na kuniambia mambo makuu mawili
1..Namdhalilisha yeye

2..ntamtangaza kwa marafiki Zangu

Hii imekaaje wakuu
Yaani mkuu, yaani demu mpaka anakuona boya kiasi hicho ? alicho sema ni kweli....
 
Habari wakuu,,

Huyu Dada nimetokea kuzoeana nae ni miezi sita sasa imepita sijawahi mtongoza ila maisha ninayoishi nae kama tupo kwenye mahusiano na hivyo ndivyo tujuavyo

Kilichonileta hapa wiki kama mbili zilizopita ni kuwa nae chemba nikataka kumfanyia massage mwanzoni hakuonyesha kipingamizi ila muda baada alikataa kabisa mpaka nikaanza kumuogopa na kuniambia mambo makuu mawili
1..Namdhalilisha yeye

2. Nitamtangaza kwa marafiki zangu

Hii imekaaje wakuu?
Alikusoma na hajakosea.alikuambia utamtangaza na kweli umekuja kumtanga humu..jichunguzee mkuu acha umbea kiasi cha kustukiwa namna hiyo au ww ni mpakwa mafuta..?
 
Back
Top Bottom