Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 644
Habari wakuu...
Zikiwa zimebakia siku 6 kwa mujibu wa NACTE kutoa majina kwa waliochaguliwa kusoma cerificate na diploma kwa vyuo vya afya....
Lengo la kuanzisha thread ni kwa mambo makuu matano(5)
1..kupeana information juu ya mambo yanayoendelea juu ya mchakato wa central admission system unavyoendelea hadi ifikapo siku hiyo..
2..suala lingine kushauriana juu ya plan B kwa wale ambao watakosa nafasi za selection za NACTE kwa upande wa serikalini bila kuweza kusitisha mwaka huu 2017
3..Nakaribisha michango mingine kwa wadau wa elimu ambao wanaweza kutusaidia chochote ambacho kinaweza kutujenga kimitazamo mbalimbali