Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 692
- 546
Habari Wakuu.
Kiuhalisia sasa ni Muda sahihi wa serikali kufungua shule kuanzia shule za msingi hadi vyuo vikuu kama likishindikana hili basi Madarasa ya mtihani yangerudi kwenye system ya Elimu.
Kwanini Naongea Haya..
1. Turitarajia ugonjwa tuone ukiwa kwenye peak kubwa ya maambuzukizi tangia kuingia kwake Ila haijawaha hivyo hadi sasa.
2. Kwa maelezo ya watalaamu mbalimbali Corona si ugonjwa wa kuisha Leo au kesho mpaka pale chanzo ipatikane sasa kama tutakuwa tunasubiria kuisha hii itasaidia nini?
3. Je, kama hauishi hivi ina maana si kawaida kwa wanafunzi kurudi kwenye mfumo wa shule kama ilivyo kuwa awali.
Napendekeza Serikali itoe Tamko kati ya MEI au JUNE wanafunzi kurudi shule.