Wakuu nimepoteza direction ya elimu yangu...

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
692
546
Habari wakuu...

Mwaka 2015 nilibahatika kumaliza form four shule moja mkoani....matokeo yangu yakawakama ifuatavyo phy-C chem-C bios-C math-D geo-C hist-C civics-C kiswahili-C english-C...

Baada sikufanikiwa kupata selection za shule ila nilibahatika kwenda shule ya private mchepuo wa PCB sio siri matokeo yangu yote hayajawahi kuwa vizuri hata na hivyo nikawasilisha wazazi lengo la kutaka kurudia form five ila sio kwa mchepuo wa PCB bali HGE...

Familia ilinishauri niapply course za afya vyuo vya serikali kama nikipata nafasi niende kusoma na kama sitachaguliwa ninaweza kurudia form five kwa mchepuo wa HGE ili kama nikifanikiwa kupata one kali nisome Agrobusines,land valuation,IT

Wakuu...kama watalaamu wa elimu naombeni mnipe ushauri sielewi chochote juu ya maisha ya elimu kwa sasa naona kama nimepoteza my direction ya elimu sioni MWAGA KWA MUDA KIDOGO...
 
Usijali kwa hilo hata mimi niliacha kusoma nikiwa chuo cha west minster nchini uingereza, lakini bado nina pambana na maisha ya mtaani... !!
 
Moja ya ushauri muhimu ni wewe mwenyewe.. Chagua unachohisi kitakufaa.. Mengine yote ni porojo
 
Habari wakuu...

Mwaka 2015 nilibahatika kumaliza form four shule moja mkoani....matokeo yangu yakawakama ifuatavyo

Baada sikufanikiwa kupata selection za shule ila nilibahatika kwenda shule ya private mchepuo wa PCB sio siri matokeo yangu yote hayajawahi kuwa vizuri hata na hivyo nikawasilisha wazazi lengo la kutaka kurudia form five ila sio kwa mchepuo wa PCB bali HGE...

Familia ilinishauri niapply course za afya vyuo vya serikali kama nikipata nafasi niende kusoma na kama sitachaguliwa ninaweza kurudia form five kwa mchepuo wa HGE..

Wakuu...kama watalaamu wa elimu naombeni mnipe ushauri sielewi chochote juu ya maisha ya elimu kwa sasa naona kama nimepoteza my direction ya elimu sioni MWAGA KWA MUDA KIDOGO...
Ukijua unataka nini hili swala ni dogo sana haliitaj ushauri, jua unataka nini kwanza sio baba anataka usome nini au Mama anataka usome nini au wanajamii wanashaur usome nini.
Hilo ni fumbo ukifumbua jibu unalo mwenyewe humu utapata majibu mengi yatakayo kuchanganya akili.
Ni mtazamo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu...

Mwaka 2015 nilibahatika kumaliza form four shule moja mkoani....matokeo yangu yakawakama ifuatavyo

Baada sikufanikiwa kupata selection za shule ila nilibahatika kwenda shule ya private mchepuo wa PCB sio siri matokeo yangu yote hayajawahi kuwa vizuri hata na hivyo nikawasilisha wazazi lengo la kutaka kurudia form five ila sio kwa mchepuo wa PCB bali HGE...

Familia ilinishauri niapply course za afya vyuo vya serikali kama nikipata nafasi niende kusoma na kama sitachaguliwa ninaweza kurudia form five kwa mchepuo wa HGE..

Wakuu...kama watalaamu wa elimu naombeni mnipe ushauri sielewi chochote juu ya maisha ya elimu kwa sasa naona kama nimepoteza my direction ya elimu sioni MWAGA KWA MUDA KIDOGO...
HGE angalia why PCB imekuwa ngm wakati mwanzo ulichagua au ulichagaliwa? Tafuta jb

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu...

Mwaka 2015 nilibahatika kumaliza form four shule moja mkoani....matokeo yangu yakawakama ifuatavyo

Baada sikufanikiwa kupata selection za shule ila nilibahatika kwenda shule ya private mchepuo wa PCB sio siri matokeo yangu yote hayajawahi kuwa vizuri hata na hivyo nikawasilisha wazazi lengo la kutaka kurudia form five ila sio kwa mchepuo wa PCB bali HGE...

Familia ilinishauri niapply course za afya vyuo vya serikali kama nikipata nafasi niende kusoma na kama sitachaguliwa ninaweza kurudia form five kwa mchepuo wa HGE..

Wakuu...kama watalaamu wa elimu naombeni mnipe ushauri sielewi chochote juu ya maisha ya elimu kwa sasa naona kama nimepoteza my direction ya elimu sioni MWAGA KWA MUDA KIDOGO...
Kwa hyo chuo umeomba...?
 
Back
Top Bottom