Search results

  1. leah2

    Swali kwa wanaume wa jf

    Twende kwenye mada. Nàuliza kwann mnapenda kutongoza kila mwanamke hata kama hammjui? Mtu ukisimulia unayopitia basi ujiandae Na mipm kibao. Hata kama ni umalaya wengine mmezidi. Loh!
  2. leah2

    Huu ni Uzi maalum wa kulaani matukio mabaya yanayotokea ndani na nje ya nchi yetu.

    Wakuu huu ni uzi maalum wa kulaani matendo yote maovu yanayotokea ndani na nje ya nchi yetu. Lengo la uzi huu nikuionesha jamii husika kwamba tunachukia matendo maovu yote yanayotishia na kuhatarisha maisha na amani ya nchi yetu. Yanayotaka kuondoa umoja wa kitaifa tulionao tangu Uhuru mpaka...
  3. leah2

    Harusi ya mdogo wangu ilivyochukua wazazi na ndugu zangu wote

    Ni habari iliyousonenesha moyo wangu na kunifanya nishindwe kuyazuia machozi yangu.... Nimelia peke yangu nimeona Leo ni washirikishe nanyi huzuni hii pengine ntapata faraja... Nakumbuka ilikuwa mwezi july tarehe 26 2017 tulikuwa tusafiri Mimi baba mama na wadogo zangu watatu kwenda kwenye...
  4. leah2

    Kumpenda mtu asiyekupenda inatesa sana!

    Yaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli.. Nimekuwa mtu wa kulia tu... Jana nimemkuta na msichana mwngine tena nahisi atakuwa bado mwanafunzi nikajifanya sijaona nikageuza haraka na kurudi home, nikijua atarudi home...
  5. leah2

    Hivi nyie simba nani amewaloga?

    Yaani kuitwa mpnzi au shabiki wa simba lazima uwe na ufahamu mdogo..ndiyo lazima uamini kila unachoambiwa hata kama hakiwezekani. Niliwaambia Niyonzima hawezi kuichezea simba hata iweje kwa sababu simba haina ubavu wa kuchukua mchezaji wa yanga ambaye bado anahitajika na yanga lkn nyie viumbe...
  6. leah2

    Yanga yanasa vifaaa vitatu toka Ghana

    Yanga timu pekee yenye kufanya mambo yake kwa weledi mkubwa na akili nyingi imefanya kufuru kwa kusajiri wachezaji watatu wa kimataifa kutoka nchi Ghana. Wachezaji nao ni wachezaji tegemewa kwenye kikosi cha timu yao ya taifa. Habr za uhakika zinasema mmoja ya wachezaji hao ni beki kisiki...
  7. leah2

    Kamati ya usajili ya timu ya Yanga imekaa kupanga mikakati ya usajili.

    Kamati ya usajili ya timu ya Yanga maarufu kama wakimataifa imekaa na kuazimia yafuatayo. 1.Kusajili wacheza vijana zaid. 2.Kusajili wachezaji wenye viwango 3.Kuwatema wachezaji wasio na mchango kwenye timu Mbali na hayo kama imeeleza kuwa usajili utafanyika kimya kimya na kuweka wazi baada ya...
  8. leah2

    Ukizini tu unawekewa alama usoni!

    Nawaza tu kwa sauti, kama ingekuwa ukizini tu unawekewa alama usoni , nyuso zetu zingekuwa na alama ngapi? Binafsi ningekuwa na alama chache sasa. Kati ya wanaume na wanawake nani angekuwa na salama nyingi?
  9. leah2

    Kwanini wanaume mkimtaka mwanamke mnakuwa wanyenyekevu sana na mkishampata mnabadilika?

    Nina maswali kadhaa kwenu wanaume lkn Leo ntauliza moja tu. Kwanini mnapokuwa mnamtaka mwanamke mnakuwa wanyenyekevu watiii na watoaji sana lkn mkisha mpata tu mnageuka wakali mnajifanya hamna muda tena? Nijibiwe majibu ya kuridhisha
  10. leah2

    Kunaweza kuwa na raha ya maisha bila mapenzi?

    Wandugu naomba kuuliza je kunaweza kuwa na raha ya maisha bila mapenzi? Binafsi nayapa heshima mapenzi maana bila hayo raha ya maisha ingekuwa kama haipo. Watu hawajuani lkn wakipendana wanakuwa zaidi ya ndugu na kuanza familia pamoja. Mapenzi nayapa heshima yake. Niulize kuna raha zaidi ya...
  11. leah2

    Nini kinafanya wanaume kuguna mpaka kulia wakati wa kugegeda?

    Wakuu za weekend? Nimefanya majaribio kwa wanaume wawili niliwapa offer ya papucha wamekuwa na tabia ya kulia na kutoka miguno kitu kiilicho nishangaza sana. Unakuta mwanaume anatoa miguno mapaka analia utadhani demu. Niliishia kushangaa tu. Naomba msinisaidie wanaume je hiyo ni kawaida...
  12. leah2

    Tetesi: Serikali inakusudia kuanza kulipa malimbikizo ya nyongeza kwa watumishi wake

    Habari njema ni kwamba serikali imefikia uamuzi wa kuanza kulipa malimbikizo na nyongeza zote kwa watumishi wa umma ikiwa ni pamoja na kupandisha vyeo. Maazimio haya yanategemewa kuanza mwaka wa fedha 2017/2018 Serikali imeazimia kumaliza madeni yote ilikuondoa ktk lawama na shutuma ambazo...
  13. leah2

    Upendo wa Valentine day ni kudanganyana

    Yaani Leo kila kona ni red tu. Watu wanadanganyana eti wapenzi! Loh! Eti Leo ni siku ya wapendanao! Nakataa kbsa. Nakataa kbsa hata aje nani siwezi kukubali kuwa Leo ni siku ya wapenda nao. Leo ni siku ya wazinzi wanaodanganyana kweli kabisa. Natamani nipendwe kila siku but not only Feb 14...
  14. leah2

    Ili uwe kiongozi wa malaika mbinguni unatakiwa uweje?

    Wakuu hbr za majukumu? Niende moja kwa moja kwenye mada, kuna kauli zinanisumbua, mtu anoposema anataka akawe kiongozi wa malaika mbinguni huwa sielewi ana maanisha nini? Nimejaribu kupitia biblia kuanzia mwanzo mpaka ufunuo sijaona mahali panaonesha ufanye jambo gani duniani ili baadae ukawe...
  15. leah2

    Huu ndio uzuri wa mheshimiwa Pombe Magufuli

    Wanajamvi Leo nimejipa muda wa kutosha kutafakari uongozi wa rais wetu wa awamu ya tano nikagundua kuwa kuna mazuri mengi amefanya kuliko hata mabaya. Wanasema mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni. Haya ndiyo mazuri yake: Amerudisha nidhamu kazini, Amekomesha uporaji wa fedha za umma...
  16. leah2

    Nataka kuacha kazi

    Wandugu, Mwenzenu naelekea kuachia ngazi maana nimechoshwa na kufanyishwa kazi kwa matamko. Ni muajiriwa wa serikali nipo halmashauri fulani nikiwa Mkuu wa Idara nimechoshwa kufanyishwa kazi kwa matamko. Mkuu wa Wilaya ananiendesha, Mkuu wa Mkoa anidhalilishe kisa ajira? Looh naacha kazi.
  17. leah2

    Hata kama za moto zitaliwa tu!

    Serikali imeanza kutuletea pesa kwenye h/mashauri na kutuonya kuwa tusijaribu kuzila ni za moto. Huenda kweli zikawa za moto lkn wakumbuka joto hupotea linapokutana na baridi. Tumejipanga kuziweka kwenye friji zipoe kisha ziliwe kirahisi. Hivi Mimi kama mkuu wa idara nashindwaje kula hela...
  18. leah2

    Unatumia muda kiasi gani kuimarisha mahusiano yako na umpendaye?

    Bila shaka mko poa! Kama ambavyo head inajieleza, unatumia muda kiasi gani ktk kuimarisha mahusiano yako na mwenzi wako? Binafsi natumia muda wa jion na asbh at least kwa saa moja kufanya mambo kadhaa ktk kuhakikisha naboresha mahusiano na mwenzi wangu. Huwa najitahidi kumsikiliza, kufanya...
  19. leah2

    Nahisi mtalaka wangu bado ananiandama

    Wanajamvi habari za majukumu? Nina mambo kadhaa yanayonisumbua akili yangu na kuninyima amani sana. Kwa wale wanaokumbuka tatizo nilopata la aliyekuwa mume wangu kumpa mimba mdogo wangu, hichi nadhani ndo kimekuwa chanzo cha kuniweka katika wakati mgumu.Tangu nilipoamua kuachana nae nimekuwa...
  20. leah2

    Mrejesho: Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    Habari zenu wadau wa MMU, Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru mods na members wenzangu wote kwa mawazo, ushauri na michango yenu katika thread niliyoleta huku kipindi cha nyuma yenye kichwa kisemacho "mume wangu amempa mimba mdogo wangu" Nimepata muda wa kutosha kutafakari michango ya...
Back
Top Bottom