Ili uwe kiongozi wa malaika mbinguni unatakiwa uweje?

leah2

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
584
1,437
Wakuu hbr za majukumu?

Niende moja kwa moja kwenye mada, kuna kauli zinanisumbua, mtu anoposema anataka akawe kiongozi wa malaika mbinguni huwa sielewi ana maanisha nini?

Nimejaribu kupitia biblia kuanzia mwanzo mpaka ufunuo sijaona mahali panaonesha ufanye jambo gani duniani ili baadae ukawe kiongozi wa malaika.

Mwenye ufahamu anisaidie plz.
 
Uwe mtukufu kama mungu wa Taifa la Tanzania na mwanaye Mungu wa Dar. Wao ndio Mahakama, Bunge na Serikali. Wapo tayari kuvunja kila kitu ili ware maarufu.
 
Wakuu hbr za majukumu?

Niende moja kwa moja kwenye mada, kuna kauli zinanisumbua, mtu anoposema anataka akawe kiongozi wa malaika mbinguni huwa sielewi ana maanisha nini?

Nimejaribu kupitia biblia kuanzia mwanzo mpaka ufunuo sijaona mahali panaonesha ufanye jambo gani duniani ili baadae ukawe kiongozi wa malaika.

Mwenye ufahamu anisaidie plz.

Sharti kuu ni ufe kwanza kwa kuwa hakuna sheria ya kumpitisha mwanadamu kwenda mbinguni bila kufa! Uongozi utaenda kugombea mbele kwa mbele!
 
Wakuu hbr za majukumu?

Niende moja kwa moja kwenye mada, kuna kauli zinanisumbua, mtu anoposema anataka akawe kiongozi wa malaika mbinguni huwa sielewi ana maanisha nini?

Nimejaribu kupitia biblia kuanzia mwanzo mpaka ufunuo sijaona mahali panaonesha ufanye jambo gani duniani ili baadae ukawe kiongozi wa malaika.

Mwenye ufahamu anisaidie plz.
mimi nafikiri, uwe na moyo wa kumsamehe yule mumeo aliye kukosea!
 
Kamata kamata watu hovyo tu, alafu wadhulumu waliopata majanga misaada yao, alafu watukane wenye njaa, alafu wadharau viongozi wenzako hapo lusifa atakupa cheo cha kuwa hata luteni jenerali wa malaika zake.
 
Kidini tunaambiwa kuwa kabla ya huyu tunaemuita shetani kuasi alikuwa akiitwa Lusifa na ndie aliekuwa kiongozi mkuu wa malaika wote huko mbinguni,baada ya kuasi Mungu akamshusha duniani na nafasi yake ikachukuliwa na malaika aitwae Gabrieli ambae kwa sasa ndie kiongozi mkuu wa malaika huko mbinguni.Kwa hiyo mwanadamu hata afanyeje hawezi kuwa kiongozi wa malaika kwani yeye hana asili ya umalaika ni pia hadhi ya malaika ipo juu kidogo ya hadhi ya binadamu ingawa wote waliumbwa na Mwenyezi Mungu.
 
Mkuu umejibu vyema maana wanasiasa wajidanganya ukizingatia hata shinda zao zina vigisu nyingi mno mpaka Mungu hawezi kuangalia
 
Milembe inahusika mshasahau kama watu wote wanaotamani kuwa viongozi wa malaika mbinguni ni wagonjwa
 
Back
Top Bottom