Huu ni Uzi maalum wa kulaani matukio mabaya yanayotokea ndani na nje ya nchi yetu.

leah2

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
584
1,437
Wakuu huu ni uzi maalum wa kulaani matendo yote maovu yanayotokea ndani na nje ya nchi yetu.

Lengo la uzi huu nikuionesha jamii husika kwamba tunachukia matendo maovu yote yanayotishia na kuhatarisha maisha na amani ya nchi yetu.

Yanayotaka kuondoa umoja wa kitaifa tulionao tangu Uhuru mpaka hapa tulipofikia.

Laana hizi zitasaidia wahusika kujitathimini na kujirudi ili kulinda tunu ya amani, upendo na umoja wa nchi yetu.

Binafsi nalaani matukio ya mauji ya kibiti .
 
Back
Top Bottom