leah2
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 584
- 1,437
Habari njema ni kwamba serikali imefikia uamuzi wa kuanza kulipa malimbikizo na nyongeza zote kwa watumishi wa umma ikiwa ni pamoja na kupandisha vyeo.
Maazimio haya yanategemewa kuanza mwaka wa fedha 2017/2018
Serikali imeazimia kumaliza madeni yote ilikuondoa ktk lawama na shutuma ambazo imekuwa ikishutumi.
Sambamba na hilo kuna maazimio kadhaa yamepitishwa kuwapa rehema wale waliofukuzwa kazi kwa makosa mbali mbali likiwemo la kugushi kupewa mafao yao.
Hbr kamili kuwajia hivi punde stay tuned.