Kamati ya usajili ya timu ya Yanga imekaa kupanga mikakati ya usajili.

leah2

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
584
1,437
Kamati ya usajili ya timu ya Yanga maarufu kama wakimataifa imekaa na kuazimia yafuatayo.

1.Kusajili wacheza vijana zaid.
2.Kusajili wachezaji wenye viwango
3.Kuwatema wachezaji wasio na mchango kwenye timu

Mbali na hayo kama imeeleza kuwa usajili utafanyika kimya kimya na kuweka wazi baada ya usajili.

Kamati ya usajili imesema ina fungu la 2.4bilion kwaajili ya usajili.

Wapenzi,wanachama na mashabiki msiwe na shaka.
 
Wachezaji kama Busungu, Mateo Anthon, Makapu ni kiwango caha mchangani,...

Ngoma nizamu F, Mahadhi kasharidhika, Canavaro na Oscar Joshua washazeeka...

Yanga Sasa watafute kiuongo mkabaji wakueleweka, pia na mshambuliji mpambanaji mwenye uelewa na goli....

Baki wa kushoto kuna umuhimu wa mtu kupambania namba na Haji Mwinyi....

Wafanye yote wa mbakize Niyonzima fundi.....
 
Tuko pamoja mwana Yanga damu!!
 
kwa saidi makapu siungi mkono hoja
 
Canavaro anaweza kubakia kama kiongozi uwanjani kwa wachezaji wenzake
 
Kamati ya usajili ya timu ya Yanga maarufu kama wakimataifa imekaa na kuazimia yafuatayo.

1.Kusajili wacheza vijana zaid.
2.Kusajili wachezaji wenye viwango
3.Kuwatema wachezaji wasio na mchango kwenye timu

Mbali na hayo kama imeeleza kuwa usajili utafanyika kimya kimya na kuweka wazi baada ya usajili.

Kamati ya usajili imesema ina fungu la 2.4bilion kwaajili ya usajili.

Wapenzi,wanachama na mashabiki msiwe na shaka.
Daaaaa hiyo ya sh 2 billion za usajiri ni kweli?Maana tunaaminishwa kuwa yanga sasa hakuna noti
 
kwa saidi makapu siungi mkono hoja
Ni mawazo tu mkuu ila ukweli usiofichika Makapu ni wa kawaida sana ndo maana mara nyingi Kamusoko au Mkata umeme wanacheza zaid nafasi yake japo si viungo wakabaji.....

Yeye kama kiungo mkabaji alitakiwa awapoteze awa wote ata kama wakicheza wacheze sababu yeye ayupo...

Kama yanga watakosea kama walivokosea msimu uliopita ni kutosajili kiungo mkabaji mwenye kipaji......!
 
Ukweli mchungu yanga mnadaiwa salar za watu lipeni kwanza acheni mbwembwe
 
Back
Top Bottom