Kwanini wanaume mkimtaka mwanamke mnakuwa wanyenyekevu sana na mkishampata mnabadilika?

Sio mwanaume ila ningependa nijibu!!!

Hiyo ni tabia ya mwanadamu na si kosa lao hao wanaume. Ni kama vile ukiwa na shida unajuhudi sana kumuomba Mungu, kanisani utaenda na dhambi utaacha... Ila Mungu akishajibu maombi yako juhudi zinapungua tena wengine ndo hawakanyagi tena kanisani.

Binadamu yeyote akiwa muhitaji anakua mnyenyekevu, akishapata anachohitaji sasa ndo utayaona makucha yake.

Wanaume wakiwa wanatongoza wanajibadili tabia na kujiweka vile wanavyoona wanawake wanapenda wawe... Wengi huongozwa na tamaa, pale ambapo kiu yao itakatwa wanaona hamna umuhimu kufekisha tabia wakati huna jipya analolitaka toka kwako.

Sio wanaume wote wanaobadilika... Ni wale tu waigizaji.
 
Nina maswali kadhaa kwenu wanaume lkn Leo ntauliza moja tu.

Kwanini mnapokuwa mnamtaka mwanamke mnakuwa wanyenyekevu watiii na watoaji sana lkn mkisha mpata tu mnageuka wakali mnajifanya hamna muda tena? Nijibiwe majibu ya kuridhisha
mvuvi akitaka kumvua samaki huwa ansmlishia kwa kumlishia chambo ili amnase akishamnasa tu huwa hana time nae hutafuta samaki wengine, sisi ni wavuvi bana tunawavuaaa
 
Nina maswali kadhaa kwenu wanaume lkn Leo ntauliza moja tu.

Kwanini mnapokuwa mnamtaka mwanamke mnakuwa wanyenyekevu watiii na watoaji sana lkn mkisha mpata tu mnageuka wakali mnajifanya hamna muda tena? Nijibiwe majibu ya kuridhisha

Dada Yangu Leah, awali ya yote Shikamoo na Pia Pole na mawazo yako ya Usiku Juu ya Wanaume ambao wao ndiyo sababu ya wewe Kuwepo kwa kuwa usehemu ya Ubavu mmoj wa hao wanaume. Najua kama ni Muumini na Mcha Mungu utakubaliana na Mimi..

Nirudi kwenye Mada.

Tatizo kubwa linatokana na wewe Mdada vipimo ulivyotumia kumpima huyo Mkaka kipindi cha Matongozo. Kipimo kile kile ndicho kitakacho tumika kukugeuka wewe Mdada.

Naomba niishie hapo nitakuja baadae.

Ubarikiwe Nakusoma Sana Mawazo yako..
 
Nina maswali kadhaa kwenu wanaume lkn Leo ntauliza moja tu.

Kwanini mnapokuwa mnamtaka mwanamke mnakuwa wanyenyekevu watiii na watoaji sana lkn mkisha mpata tu mnageuka wakali mnajifanya hamna muda tena? Nijibiwe majibu ya kuridhisha
Namimi kwa niaba ya wanaume wite marijali naomba nikulize.

Hivi wewe ulisha wai kuona mbunge au Rais akishinda uchaguzi anaendelea na kampeni kwa wapiga kula wake?

Ndivyo ilivyo ukiwa unaomba usajili lazima ubembeleze utoe ili upewe na ukishapata utaendeleaje kubembeleza sas?
 
Back
Top Bottom