Yanga yanasa vifaaa vitatu toka Ghana

leah2

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
582
1,000
Yanga timu pekee yenye kufanya mambo yake kwa weledi mkubwa na akili nyingi imefanya kufuru kwa kusajiri wachezaji watatu wa kimataifa kutoka nchi Ghana.

Wachezaji nao ni wachezaji tegemewa kwenye kikosi cha timu yao ya taifa.

Habr za uhakika zinasema mmoja ya wachezaji hao ni beki kisiki asiyepitika wakati mmoja ni mfungaji wakutumainiwa na aliyesalia ni kiungo mkabaji wa uhakika.

Kila kitu kitawekwa wazi baada muda mfupi.

Yanga mbele daima nyuma kwetu mwiko.
 

pachachiza

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
1,705
2,000
Sportpesa wamempa ujeuri, hela wamepewa ya mwaka mzima milioni 300 wao wamesajilia zote plus milioni 200 za pango walizokusanya. Sijui mishahara watalipa nini.
Hela za Mo hawajui kumbe wanaendelea kupunguza hela ya kuiuza simba mpk sasa washatumia 3b ukiongezea na mishahara ya mwakani yote watakuwa wamechukua 10b no anawaongezea 10b anaichukua simba.
 

nguriti

Senior Member
Nov 16, 2016
118
250
Vyvyote vile bado naamini yanga itakuwa na kikosi bora maana hawana papara, huyo Niyonzima na Ngoma hawana kitu so special kama wanavyo kuzwa na vyombo vya habari ....mtani endelea na mbwembwe ila jiandaea maana bila mishahara hao watauza timu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom