Search results

  1. herzegovina

    Dr. Magufuli is a genius. Hakuna Ushindi mkubwa kwa mtawala kama ushindi wa kuwastaafisha Wananchi Siasa

    Naweza kusema pamoja na rais Magufuli kuonekana sio mwanasiasa mzuri lakini karata zake amezichanga vizuri sana. Tangu aingie madarakani alionekana dhahiri kuwa ni rais asiye na simile kwa upinzani. Amekuwa akiwashughulikia kweli kweli. Muda wote nguvu kubwa imekuwa ikitumika "kuwazima" hawa...
  2. herzegovina

    Uchaguzi 2020 Watanzania tuwakatae CHADEMA na uzushi wao

    Salaam, CHADEMA wamekuwa na tabia ya kumzushia mambo mengi mabaya Rais wetu na mgombea wa CCM. Mfano jana eti wamezusha kuwa rais wetu alizomewa kule Kagera. Cha kushangaza hata video za kuonyesha tukio hilo hazionekani. Rais Magufuli ni kipenzi cha wana KAGERA na wanamwelewa sana ndio maana...
  3. herzegovina

    Vyama vya Upinzani, chukueni ushauri huu

    Kwa lugha inayoeleweka kabisa ni kuwa nchi hii haikuundwa kuja kuwa nchi ya vyama vingi. Ilibidi tuigize kama tuna vyama vingi ili kuepuka "kibano" tulichokuwa tunakabiliana nacho kipindi hicho kutoka kwa mabeberu. Hata vyama vingi vilipoanzishwa Mali nyingi sana ziliekezwa kwa Chama Tawala...
  4. herzegovina

    Picha ya siku, Ipe mwenyewe maneno

  5. herzegovina

    Kutoka kwenye ulimwengu wa movie: Je, Corona virus ni mwanzo tu?

    Kiukweli mara nyingi huwa najiuliza, Je, inawezekana movie ikawa na kisa ambacho kiuhalisia hakipo? Huwa najijibu tu, "Labda". Movies nyingi katika Karne ya 21 zimekuwa zikiwa na visa vya mtu au kikundi cha watu kutengeneza biochemical weapons (mostly virus) ili kupunguza au kumaliza idadi ya...
  6. herzegovina

    Msemaji wa Serikali amedhamiria kupotosha au amepitiwa?

    Habari za Jumapili, wakuu. Hebu shuhudieni wenyewe maana hata nguvu za kuandika nimeishiwa
  7. herzegovina

    Mtandao, mtandao, mtandao. Je tumekabidhi maisha yetu kwa mtandao?

    1. Mshkaji wako amekukopesha pesa umrudishie baada ya wiki moja. Anakusisitizia kuwa hakikisha unamlipa kwa wakati kwa kuwa anataka kupeleka mtoto shule. Siku inafika, bahati mbaya unakuwa kwenye kikao kizito ofisini kwenu kinachochukua muda mrefu sana mpaka simu yako inazima. Jamaa kila akipiga...
  8. herzegovina

    Maajabu ya wanaume wa Dar.

    Katika watu wanaotakiwa waingie kwenye maajabu ya dunia basi ni wanaume wa Dar. 1. Ndio mkoa wenye wabunge wengi waliounga mkono juhudi. 2. Ndio mkoa ambao umefanyiwa kila aina ya hila katika chaguzi za marudio ikiwepo sanduku la kura kuibiwa mchana kweupe. 3. Ndio mkoa ambao chaguzi zake...
  9. herzegovina

    Sijawahi kuichoka hii movie. Tatizo kila nikiiangalia ROHO inaniuma Sana Hadi machozi yananitoka

    Wasalaam, Movie hii inaitwa THE DARK KNIGHT. Ilitoka mwaka 2008. Movie hii ili-gross USD 1 BILION (TSH TRILIONI 2.3). Kwa kweli Ni moja ya movie yenye SCRIPT Kali Sana. Hii Ni movie ya ACTION, PLOT yake siyo inayonisikitisha Bali kinachonisikitisha Ni kuwa hii ndiyo ilikuwa movie ya mwisho ya...
  10. herzegovina

    Masoud Kipanya katika ubora wake. Tusaidiane kuielewa hii katuni

    Yeye mwenyewe Masoud alishasema, watu wengi wanashindwa kuzielewa katuni zake kwa sababu wanataka kutumia akili nyingi Sana wakati kiuhalisia hutakiwi kutumia akili nyingi/hutakiwi kuumiza kichwa Sana. Karibuni
  11. herzegovina

    Dakika ya 42 ya mchezo

    Ni mechi kali kati ya CHAKAVU FC vs KINZANI FC. Sheria za mchezo zinaruhusu CHAKAVU FC chini ya nahodha wao DICK TRAITOR kutawala mchezo. Ni DICK TRAITOR mwenyewe ndiye anayechagua marefa wa mechi hii. Ili KINZANI FC waweze kutawala mchezo, wanatakiwa kusubiri dakika 45 ziishe na iwapo WASHABIKI...
  12. herzegovina

    VIDEO: Yote haya ni Profesa Kabudi. Je, ni kwamba mission za Kabudi huwa ni lazima zifeli ?

    Wakuu, Habari za Jumatatu! Huku kukiwa na malalamiko mengi kuhusu kadhia ya KOROSHO na jinsi ambavyo Profesa Kabudi alinasa kwenye mtego wa kampuni hewa kutoka Kenya kisa tu walikuja na ndege, ndipo ikabidi nirudi kujiuliza kuwa je huyu Profesa aliwahi kufanikisha kitu gani? Jamaa yangu wa...
  13. herzegovina

    Kama akili za Maprofesa wetu ndio zipo hivi, Basi tusahau kuhusu maendeleo

    KWA UFUPI Hapa anasikika John Heche akisema kuwa, kwa mujibu wa Profesa Palamagamba Kabudi, serikali iliingia mkataba na Kampuni hewa toka Kenya (iliingizwa mkenge) wa ununuzi wa korosho kwa kuwa wawekezaji hao kutoka Kenya walionekana kuwa "Serious" kwa kuwa walikuja na Ndege. Hivi ni Kweli...
  14. herzegovina

    Nyimbo "Alisema" ya Nay wa Mitego ndio nyimbo Bora ya muda wote hapa Tanzania

    Somo tajwa lahusika Unachotakiwa kufanya ni kuisikiliza tu Jumapili njema
  15. herzegovina

    Halafu mnajidanganya eti hana Washauri wazuri!

    Mtu anaingia Ikulu, Cha Kwanza kabisa anafuta bunge live. Kisha anamteua MPWA wake kuwa Katibu mkuu Hazina. Baada ya hapo anapiga marufuku mikutano ya kisiasa. Baada ya hapo anaanza Vita na vyombo vya Habari vinavyoikosoa serikali. Fungia hiki, fungia hiki. Kama haitoshi, anaanza kuwatisha...
  16. herzegovina

    Maneno haya ni somo tosha kwa Mr Power!

    Mr Power vs Mr Brain Mr Power amekuwa akituaminisha kuwa tumeibiwa Sana, tumechezewa Sana, tumeingia mikataba ya hovyo...n.k Anachosahau Mr Power ni kuwa yeye pia alikuwa sehemu ya "system" iliyofanya maazimio hayo ya "kuuza nchi". Mr Power mara nyingi tulimuona akigonga meza kwa "power" zote...
  17. herzegovina

    Ina maana hamumuelewi Waziri Kangi na hamjui anachokitafuta? Je, hamumjui Rais Magufuli?

    Tangu Kangi Lugora ateuliwe kuwa waziri wa Mambo ya ndani, amekuwa ni MTU wa vituko vingi sana na kila uchwao utamsikia yeye tu...Mara kamfukuza kamishna wa magereza kikaoni..Mara kaahidi kumaliza ajali..mara kamuamrisha IGP kama mtoto mdogo mbele ya vyombo vya habari...mara kashonea bendera...
  18. herzegovina

    Rais Magufuli ni muumini sana wa "quantity" na siyo "quality"

    Wakuu, Nimemsikia Rais Magufuli jana akihutubia wafanyakazi kuna vitu niliviona haviko sawa kabisa na wala sio vya kujisifia kwa uwingi wake. 1. "Viwanda zaidi ya 3000 vimeanzishwa tangu Serikali ya awamu ya tano iingie madarakani" Sioni kama wingi wa viwanda hivi una tija ilhali ni viwanda...
  19. herzegovina

    Mpaka leo hakuna kitu. Huwa wanamtisha nani??? Au ni kuwa hawakuonewa??

    1. Kutajwa kwenye madawa ya kulevya, Mbowe aliwaka kuwa atamshtaki Makonda mahakamani kutokana na kuchafuliwa jina. MPAKA LEO HAKUNA KITU 2. Kuharibiwa kwa miundombinu ya shamba lake, Mbowe akasema atamshtaki Byakanwa mahakamani na kudai fidia ya Milioni 500 MPAKA LEO HAKUNA KITU 3. Kutajwa...
  20. herzegovina

    Tukumbuke tu; Alikabidhiwa ripoti ya uchaguzi Mkuu 2015

    Miezi sita baada ya kukabidhiwa Kiti cha enzi, Jaji mstaafu Lubuva aliikabidhi ripoti ya uchaguzi kwa muheshimiwa. Kilichopo ndani ya ripoti hii, wanakijua wenyewe waliopeana. Sema sisi washakunaku huwa hatuishi kujiuliza uliza. Wiki tatu baada ya kukabidhiwa (inawezekana alitumia wiki tatu...
Back
Top Bottom