Halafu mnajidanganya eti hana Washauri wazuri!

Halafu mnajidanganya eti hana Washauri wazuri!

herzegovina

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Posts
3,155
Reaction score
4,743
Mtu anaingia Ikulu, Cha Kwanza kabisa anafuta bunge live. Kisha anamteua MPWA wake kuwa Katibu mkuu Hazina.

Baada ya hapo anapiga marufuku mikutano ya kisiasa.

Baada ya hapo anaanza Vita na vyombo vya Habari vinavyoikosoa serikali. Fungia hiki, fungia hiki.

Kama haitoshi, anaanza kuwatisha wapinzani kwa kuwafungulia kesi za uongo na kweli, na wengine wanaishia jela kwa muda kadhaa..

Matukio ya watu kutekwa na kupotezwa yanashika kasi..

Anaenda mbali zaidi na kuanza kununua wapinzani ili kupunguza nguvu ya wakosoaji....

Sasa baada ya hapo mara....trilioni 1.5, mara trilioni 2.4 hazionekani zilipo..na hapo kuna maeneo ukaguzi haujafanyika.

Mnawezaje kuniambia mtu huyu Hana Washauri wazuri???? Mtu huyu alijipanga kweli kweli

Big up kwa Washauri wake..
 
Sio Lazima kila mtu aanzishe uzi wengine mubaki kusoma kwanza za wengine mujijenge eeeehhh!
 
mara Paap unasikia Ruge kafariki.lisu anabahati hakuchangiwa na huyu jamaa maana kama angepokea mchango wa jiwe asingetoboa pale Nairobi hospital
Nami nafikiria hivyo hivyo....stars wenyew walichangiwa wakafa[emoji3]
 
.
IMG-20190227-WA0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kweli kabisa ,ana wasaidizi wazuri si unaona 2.4 tilioni ilivyoporwa ,korosho ilivyonunuliwa ,alivyoajiri toka 2015 , anavyotoa mikopo ya elimu ya juu ,watu wanavyotekwa , uawa , fungwa kwenye viroba , wanavgopigwa risasi , na maisha yalivyokuwa magumu na kuongezeka umaskini na ufukara ndani ya miaka yake mitatu .
 
Back
Top Bottom