Dakika ya 42 ya mchezo

herzegovina

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
3,129
4,712
Ni mechi kali kati ya CHAKAVU FC vs KINZANI FC. Sheria za mchezo zinaruhusu CHAKAVU FC chini ya nahodha wao DICK TRAITOR kutawala mchezo. Ni DICK TRAITOR mwenyewe ndiye anayechagua marefa wa mechi hii. Ili KINZANI FC waweze kutawala mchezo, wanatakiwa kusubiri dakika 45 ziishe na iwapo WASHABIKI wengi zaidi wataamua basi na wao pia wataweza kutawala mchezo huu.

Uwanja unaotumika kwa mtanange huu unaonekana umejaa miiba, chupa zilizopasuka na vigae.

Mpira umeanza kwa kelele nyingi sana za kushangilia kutoka kwa WASHABIKI. DICK TRAITOR anaonekana akikimbia(bila mpira) kutoka kona ile mpaka kona ile kuwaonyesha mashabiki kuwa ana pumzi ya kutosha kuhimili mtanange huu. WASHABIKI wa pande zote mbili wanamshangilia kwa nguvu sana wakiamini hatimaye wamempata nahodha waliyemtaka. Mchezaji Jezi namba 2 wa KINZANI FC anaisogelea kamera iliyo karibu yake na kusema “hii ni nguvu ya soda tu kwa kuwa anakimbia bila mpira, akipewa mpira hataweza kitu”. Washabiki wanamzomea.

Dakika ya 5 tu ya mchezo DICK TRAITOR anawashangaza MASHABIKI kwa kuwakataza KINZANI FC kuongea wakiwa uwanjani na badala yake wasubiri mpaka dakika 45 ziishe ndio waongee. Wale wanaoongea wanafungiwa kwenye vyoo vya uwanja kwa muda na kuwaacha wenzao wakicheza wakiwa pungufu. Kama haitoshi, DICK TRAITOR anawaamuru wachezaji wote wa KINZANI FC wavue viatu na wacheze peku peku kwenye uwanja uliojaa miiba na vigae. DICK TRAITOR anaamuru refa asimamishe mpira kasha anazisogelea kamera na kusema UWANJA upo vizuri sana na wala hauna miiba wala vigae na mpira unaendelea.

Pamoja na yote hayo bado CHAKAVU FC wanashindwa kabisa kupeleka mashambulizi kuelekea KINZANI FC. DICK TRAITOR anataka mipira yote apewe yeye na magoli yote afunge yeye. Hakuna mchezaji wa CHAKAVU FC anayeruhusiwa kufunga. Uwezo wa DICK TRAITOR ni mdogo sana hivyo anaanza kulazimisha magoli.

Dakika ya 10,11,12 DICKTETA anapiga HAT TRICK ambapo goli moja ni la offside, moja ni la mkono (alikimbia na mpira huku kaunyaka kama RUGBY vile hadi golini) na jingine ni la kujifunga(OWN GOAL) ila kutokana na woga wa refa, anawapa goli hilo CHAKAVU FC. CHAKAVU FC 3-0 KINZANI FC
Pamoja na magoli yote hayo washabiki(wote wa CHAKAVU FC na KINZANI FC) hawaonekani kufurahia mchezo huu. Wote wapo kimya kasoro wachache tu ambao DICK TRAITOR ameweweka kwenye jukwaa la V.I.P. WASHABIKI pia wanaogopa kuzomea kwa kuwa kila anayezomea anasombwa na UPEPO MKALI na kupeperushwa kusikojulikana. DICK TRAITOR anasogelea kamera kila muda na kujisifu juu ya ustadi wake wa kuzifumania nyavu.
Dakika ya 15 ya mchezo DICK TRAITOR anafanya mabadiliko(sub) kwa mchezaji namba 3 wa CHAKAVU FC, mwenye jina NIPO ambaye mpira wake wa kurusha kwenye mechi iliyopita ulikwenda moja kwa moja nyavuni bila kuguswa na kumpa DICK TRAITOR unahodha wa mchezo. Sababu ya kumtoa nje ni kuwa mchezaji huyu alimtuhumu mchezaji mwenzake ambaye ni mtoto mpendwa wa DICK TRAITOR na inasemekana ndiye aliyemletea “KAMATI YA UFUNDI” kuwa anatumia nguvu nyingi kuliko akili.

MASHABIKI bado wanaoonekana kuwa na imani na KINZANI FC na kuwashangilia kila wanapogusa mpira. DICK TRAITOR anakasirika sana na anazidi kuwafungia vyooni wachezaji wa KINZANI FC. Anajifunga tena magoli mawili lakini ubao wa matokeo unasoma CHAKAVU FC 5-0 KINZANI FC
Dakika ya 20 ya mchezo Mchezaji mahiri mwenye jezi namba 20 wa KINZANI FC kwa jina SUPER TALL anajitoa muhanga na kuzisogelea kamera na kutoa ujumbe kuwa Nahodha wa CHAKAVU FC anapaswa kupingwa ndani na nje ya uwanja kwa kuwa anaendesha mchezo ndivyo sivyo. Lakini pia anawatahadharisha CHAKAVU FC kuwa HAKUNA ALIYE SALAMA, AKIWAMALIZA KINZANI FC WATAFUATA WAO. Anapomaliza tu kuongea hayo, upepo mkali unavuma kuelekea kwake ukiwa unapeperusha fimbo 38 zinazompata kwenye maeneo mbalimbali ya mwili wake na kumjeruhi vibaya sana. Anapatiwa huduma ya kwanza uwanjani na kisha wanataka wampeleke kwenye kituo cha afya kilichopo uwanjani hapo kwa matibabu zaidi lakini kiongozi mahiri wa KINZANI FC anagoma na kusema SUPER TALL anatakiwa akatibiwe nje ya uwanja kwa kuwa ule upepo unaweza kuvuma tena na kumfuata tena kama akibaki kwenye mazingira ya uwanjani hivyo anatolewa nje kabisa ya uwanja na kupelekwa uwanja wa jirani. Washabiki wa KINZANI FC wanatoa walicho nacho ili kuokoa maisha ya SUPER TALL kwa kuwezesha matibabu yake huko kwenye uwanja wa jirani.

KINZANI FC wanabaki pungufu bila mchezaji wao tegemezi lakini bado CHAKAVU FC wanashindwa kutawala “POSSESSION” ya mchezo kwa kuwa DICK TRAITOR anataka mipira yote apewe yeye na akipewa tu anabutua nje huku akijisifia kuwa yeye ni mchezaji anayejiamini.

DICK TRAITOR anaona bado KINZANI FC wanampa wakati mgumu hasa hasa kupitia mchezaji wao namba 10, kwa jina KIBONGE, hivyo anaanza kuwashawishi wachezaji wengine wa KINZANI FC wajiunge na CHAKAVU FC ili awape viatu na wasiendelee kucheza pekupeku kwani miiba itaendelea kuwaumiza. Wenye roho ndogo wanakubali kujiunga CHAKAVU FC na kwa kisingizio cha kuunga mkono juhudi za DICK TRAITOR katika kuzifumania nyavu kwa ustadi mkubwa ambao haujawahi kutokea. KINZANI FC wanafunga goli 3 lakini zote zinakataliwa.

Dakika ya 33 ya mchezo bado hakuna shamrashamra zozote uwanjani. Uwanja upo kimya sana. Wachezaji wa CHAKAVU FC wanakwenda kwa mashabiki na kuwapigia magoti kuwaomba wamshangilie NAHODHA wao lakini washabiki wengi bado hawaridhishwi na aina ya soka wanalolishuhudia kwa kuwa halina usawa.

Huko nje ya uwanja SUPER TALL20 anaeleza dunia juu ya kile kilichomtokea ili dunia yote ijue juu ya uonevu unaondelea uwanjani hapa. Wachezaji wengine wa CHAKAVU FC wanatoka nje ya uwanja kwenda kumjibu ili ku-neutralise effect. Wachezaji hao wanamtaka SUPER TALL arudi uwanjani kwa kuwa walinzi wa uwanja hawakuuona upepo uliomrushia fimbo, bali ni yeye tu ndiye aliyeuona upepo huo hivyo arudi tu akahojiwe na walinzi wa uwanja. Bado CHAKAVU FC wanaonekana kuelemewa na SUPER TALL huko nje ya uwanja.

Turudi ndani ya uwanja. Dakika ya 39, mchezaji namba 5 (sweeper) wa CHAKAVU FC ambaye ni mtoto wa DAKTARI MSTAAFU wa CHAKAVU FC kwa jina MROPE anafunga goli kwa ustadi na utulivu mkubwa. Washabiki wanampigia makofi. CHAKAVU FC 6-0 KINZANI FC

Dakika ya 40 ya mchezo zinasikika kelele nyingi uwanja mzima, kuna mchezaji wa CHAKAVU FC kwa jina MANGO MAN ambaye hayupo kwenye list anaonekana akipasha misuli moto. Mchezaji huyo ambaye msimu uliopita alivaa jezi namba 15, safari hii amevaa jezi namba 20 na aliwahi kuomba ridhaa ya kuwa nahodha wa CHAKAVU FC ili aweze kutawala mchezo. Mchezaji huyu anasema anataka kujitokeza wakati wa mapumziko ili benchi la ufundi lifikirie uwezekano wa kumpa unahodha katika kipindi cha pili.

Ghafla bin vuu, anajitokeza mtangazaji mmoja na kuwasha spika zote za uwanjani huku akiporomosha matusi kwa MANGO MAN kuwa anahujumu jitihada za nahodha DICK TRAITOR. ANAENDA MBALI ZAIDI na kuwatuhumu MADAKTARI WAWILI wastaafu wa CHAKAVU FC kwa tuhuma mbali mbali. Madaktari hao wastaafu wanakimbilia kwa wazee wa timu na kuuliza ni nani yupo nyuma ya mtangazaji huyo na ni nani anayemtuma kuwatukana watu? Wazee wanajibu kuwa wao sasa hawana meno hivyo wakashtaki kwa nahodha DICK TRAITOR.

DICK TRAITOR anajibu kwa kumtoa nje MROPE, mtoto wa DAKTARI MSTAAFU wa CHAKAVU FC uwanjani huku akilalama kuwa hata lile goli alilofunga kwa ustadi ni yeye ndiye alimwekeleza afunge toka dakika ya 2 ya mchezo lakini hakufunga mpaka dakika ya 39 alipomlazimisha afunge ndiyo akafunga.
Kwenye benchi la ufundi kuna watu watatu, ambao wote waliwahi kuwa manahodha wa CHAKAVU FC. Wawili bado wapo kimya ila mmoja ambaye mtoto wake yupo kwenye 1st eleven ya CHAKAVU FC anaamini kuwa DICK TRAITOR amefunga magoli mengi sana ndani ya dakika 40 kuliko magoli waliyofunga wao wote watatu kwa dakika 270. Tetesi zinasema kuwa anampigia chapuo mwanaye ili awe nahodha wa CHAKAVU B FC.

Huku MANGO MAN akipiga jaramba pembezoni na SUPER TALL akiwa karibu kurudi ili iwapo washabiki wataridhia basi atautawala mchezo kwa dakika 45 zilizobaki, DICK TRAITOR anaonekana kupanick sana.

Dakika ya 41 ya mchezo, CHAKAVU FC wanapata PENATI baada ya DICK TRAITOR kuunawa mpira kwenye eneo la hatari la adui. KINZANI FC wamechoka kulalamika, hivyo wanakaa kimya tu na kumuachia DICK TRAITOR apige penati ile ya magumashi, tena hadi kipa wao anatoka kabisa golini na goli linabaki wazi.

GOAAAAALLLLL. CHAKAVU FC 7-0 KINZANI FC. Penati safi iliyopigwa na DICK TRAITOR bila kipa kuwepo golini inagonga mwamba na kumrudia mwenyewe ambaye anaimalizia kwa ustadi mkubwa. Katika kushangilia, DICK TRAITOR anaisogelea kamera na kuuliza kama iwapo MWENYE DUNIA akimchukua ni nani ataweza kufunga magoli kwa ustadi kama anavyofunga yeye?

Dakika ya 42 ya mchezo, mpira unaendelea...
 
Goood
 
Huyo ''DICK TRAITOR'' atakuwa genius haijwahi tokea duniani
 
WASTAGE OF TIME AND ENERGY AS WELL AS MISUSE OF YOUR INTERNET BUNDLE.
 
Back
Top Bottom