Maneno haya ni somo tosha kwa Mr Power!

herzegovina

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
3,054
2,000
Mr Power vs Mr Brain

Mr Power amekuwa akituaminisha kuwa tumeibiwa Sana, tumechezewa Sana, tumeingia mikataba ya hovyo...n.k

Anachosahau Mr Power ni kuwa yeye pia alikuwa sehemu ya "system" iliyofanya maazimio hayo ya "kuuza nchi". Mr Power mara nyingi tulimuona akigonga meza kwa "power" zote kupitisha maazimio na miswada ya kinyonyaji kwa taifa letu Bila kusahau kule kwenye cabinet ambapo ndipo waliridhia madudu yote hayo.

JE MR POWER ALIFANYA NINI KUTUTETEA NA UNYONYAJI HUO???? Hakuna...! Na zaidi naye akajiongeza katika kutuibia...akatupiga mara mbili tatu hivi. Kwa kifupi Mr Power Hana chochote Cha kutuaminisha kuwa aliwahi kuwa upande wetu kipindi tukiwa "tunapigwa" ipasavyo na mabeberu, majogoo na mafahali.

"I DIDN'T TAKE 16 BULLETS FOR NOTHING"

Huyu ndiye Mr Brain. Tunamjua kwa harakati zake za miaka zaidi ya 22 kutetea wanyonge dhidi ya ukandamizwaji. Yeye(Mr Brain) anaamini kuwa tunaibiwa kwenye Sheria ambazo Mr Power aliziridhia kwa "power" zote. Na siku zote amekuwa akihangaika na Sheria (Amekuwa akitutetea kwa Sheria na pia katika muvi la makinikia alishauri twende kwenye Sheria na sio "power") kitendo kilichompa matatizo kadhaa Kama kuwekwa mahabusu, kutolewa katika ukumbi wa bunge, Kuletewa mizengwe kuwa RAIS wa TLS n.k

Yote hayo siyo makuu Sana kuliko jaribio la kutoa uhai wake kwa kumiminiwa risasi 16.

Je ana kipi Cha kutuambia tumuelewe???? Kashajibu

"I DIDN'T TAKE 16 BULLETS FOR NOTHING"

Kwa lugha nyepesi kabisa ni kuwa "I took 16 BULLETS for you"

Mr Power hakusimama na sisi kwa kuogopa kufukuzwa KAZI(kupoteza ugali) tu!

Mr Brain alisimama na sisi Bila kuhofia kupoteza maisha yake.

Power vs Brain

Nawasilisha
tapatalk_1501275063902.jpeg
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
11,047

Hii Kauli ni.ekuwa nikiitafakari sana Lissu Mingu amkbariki sana popote alipo. Lissu ni moja ya viumbe wa Mungu ambao haya wakifa wameutumia muda wao hapa duniani kifanya kazi za maana.

Lissu has been speaking all years with his right lips.

Alipoanza kusema Mr Power eti tumeibiwa sana, ndio pale nilipomdharau na kukata tamaa nae. Maana alikuwemo pia kwenye kundi la Maberu wa afrika.
 
Exactly....na hakubisha kwa sababu ya tumbo...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom