Search results

  1. mopaozi

    Jinsi ya kuzuia harufu mbaya kwenye mapumbu

    Dahh hili limekuwa tatizo kubwa sana tuwasaidieje hawa jamaa wananuka ma.pu.m.bu yani akitoa boksa hali ya hewa inabadilika na hata zoezi la BJ linafanyika kwa tabu sana
  2. mopaozi

    TRA Morogoro mko wapi Supermarket hizi hawatoi risiti kodi mnakusanyaje?

    Kwa mshangao mkubwa hii supermarket iko jengo la tatu baada ya ofisi za TRA mkoa wa Morogoro pembeni ya kituo cha Mafuta hawatoi risiti kwa muda mrefu wakati wa kulipia vitu ulivyonunua unamkuta kijana amekaa na calculator anajumlisha anachukua hela yako na kutoa chenchi!!! hii ni kwa muda mrefu...
  3. mopaozi

    Magari yanauzwa bei nafuu sana wahi

    Magari hayo hapo yako katika hali nzuri sana yanatembea. Yapo Morogoro mjini. Escudo Bei ni Tsh 6 milioni na hiyo Mark II Grande bei ni 5 milioni. Escudo: 5 door,engine ni 4 cylinder, Automatic. Mark II ni 6 cylinder Automatic. Maongezi yapo. Muuzaji hatahusika kwa namna yeyote na malipo ya...
  4. mopaozi

    mbunge awakimbia wapiga kura wake Mvomero

    Katika hali iliyowashangaza wengi mbunge wa jimbo la mvomero amewakimbia wapiga kura wake katika mbio za mwenge wa uhuru uliopokelewa katika jimbo lake leo na kuzindua miradi ya maendeleo habari za chini chini zinadai kuwa mbunge huyo yuko mbali na wapiga kura wake na hata miradi iliyozinduliwa...
  5. mopaozi

    Wafakamiaji Pilau kwenye sikukuu

    Najua wengi wenu leo mtakula pilau na kushiba ndiii chonde chonde msile na kunywa misoda hapohapo au maji mnywe maji ama soda baada ya kupita nusu saa au lisaa hata kama ni sikukuu msifakamie mtavimbiwa kesho mtashindwa kufurahia sikukuu dalili za kuvimbiwa ni kama kucheua na kusikia harufu kama...
  6. mopaozi

    Dar kutakuwa na foleni mbaya ujio wa viongozi wa kimataifa hadi tar 4

    Kwa mujibu wa kauli ya waziri Membe ktk mapokezi ya Mfalme Mswati leo mchana ni kuwa gesti zote zimekodiwa na barabara zote zitakuwa na foleni wageni mnaotaka kutembelea dar msije hadi baada ya julai 4 na mnaoenda makazini muanze safari kuazia saa 4 hivi asuhubi kwenda kazini kukwepa foleni na...
  7. mopaozi

    kipindi eatv ss hivi wanaelezea umuhimu wa kuolewa na wazungu

    Kuna wadada wawili wanaelezea faida za wao kuolewa na wazungu na maisha wanayopata kwa wale wadada wanaopenda na wanaoota na kutamani kuolewa na wazungu watazame sasa hivi wapate mbinu
  8. mopaozi

    staili gani ya uvaaji wa nguo inapendezea watu wenye vitambi?

    Msaada kila nikivaa naambiwa sijapendeza kwakuwa nina kitambi.nivaeje nitokelezee kifashonista!!
  9. mopaozi

    Biashara ya kujiuza mwili yapewa nafasi kubwa Tanzania

    Kwa wahafidhina lazima msimame na kucha kupinga tulizeni mpira haya ndiyo manufaa ya biashara hii 1.Kipato kwa mhusika hujipatia kipato cha kumwezesha kumudu maisha na chanzo kwa mapato ya serikali kwa kodi itakayokusanywa USA inaongoza kwa kukusanya kodi kupitia biashara hii 2.Husaidia sana...
  10. mopaozi

    Wanaume wengi hawanawi sehemu nyeti baada ya haja ndogo

    Wengi wanamaliza haja ndogo tu na kuvaa bila hata kunawa, upesi upesi kama wanakimbizwa; matokeo yake nguo za ndani zinabaki na mikojo then kuleta harufu za ajabu ajabu. Mtu ni afya, mnawe mara baada ya haja ndogo osheni maeneo yenu kama kina dada wanavyofanya wanawake wengi wanavumilia harufu...
  11. mopaozi

    CCM kuendelea kutawala sana

    Tujadili hapa sababu ya kwangu mtandao wake umeenea kila mahala ukifk sehemu yeyote tz kipo karibu na wananchi kuliko vyama vengine ambavyo viko too selective mijini tuu tuongee ukweli je mijini ndo tanzania!!mbwembwe nyingi kama za sisimizi anayemzuia tembo kunywa maji
  12. mopaozi

    Nauza magari bei nafuu sana alteza 11 m alex 10m harrier 19m

    Alteza hiyo 11m,alex hiyo nyuma 10m nina harrier 19m pearl white,raum 8m vitz 7m changamkeni fasta nipigieni 0714547566 au 9767547566
  13. mopaozi

    Viongozi wa chadema wajitathmini kama wanaweza kuongoza -katibu uvccm(Jembe)

    Mh katibu wa uvccm akihojiwa amewashauri viongozi wa chadema kujitathmini kama kweli wanaeza kuongoza kutokana na kila mara wanapofanya mikutano mauaji yanatokea kweli wanauwezo wa kuongoza?waachie ngazi kupisha viongozi watakaoweza na si wao Wameshindwa vibaya.Safi sana tuko pamoja Jembe source...
  14. mopaozi

    Katibu CDM Ngorongoro ashikiliwa polisi kwa kujifanya Katibu mkuu maliasili na utalii

    Katibu wa Chadema kata amekamatwa kwa kutapeli mamilioni ya fedha kwa kutumia jina la waziri wa utalii Mh Kagasheki habari kamili gazeti la habari leo leo hii ni aibu kubwa chama kuwa na viongozi majambazi,wezi na wanyang'anyi!!
  15. mopaozi

    Shoo ya BSS Arusha funika bovu

    Full kucheka machalii wa arusha wanavyowakilisha kutafuta kuingia kwny kushindania 50 milioni za epiq nation
  16. mopaozi

    Kifaa cha kukagua walevi kufungwa bungeni

    Kuna tetesi kuwa kuanzia bunge lijalo kutafungwa kifaa cha kukagua ulevi kwa wabunge kutokana na baadhi yao kuhisiwa kuwa wamelewa kwa kusinzia ovyo,kuropokaropoka,kutokutii amri za spika na kusahau sahau kanuni na taratibu za bunge hali iliyopelekea bunge kuwa kama ze komedi shoo watakaobainika...
  17. mopaozi

    je unywaji wa pombe kali(spirits) unasaidia kupunguza mwili(unene)

    Imekuwa mazoea kwny vijiwe vyetu kuwa unywaji wa pombe kali spirits km konyagi,vodka,gin nk kuwa zinakata mafuta na kwa wenye miili mikubwa wengi wamejikita huko je ni kweli kuna ambaye amepunguza mwili na ni kivipi hizi pombe zinapunguza mwili je zinayeyusha mafuta kama moto?je zina fanya nini...
  18. mopaozi

    Wanaokwepa kulipia kodi ya fire wapatikana

    Ni baada ya TrA kuchukua jukumu la kukusanya kodi hiyo wakati wa kurenew m/vehicle licence unalipia na fire ili upate licence safi sanaaa kodi itakayopatikana kuimarisha huduma za zimamoto hadi vijijini inatarajiwa 10bilioni kukusanywa big uppp
  19. mopaozi

    Simu za kununua mkononi hatari utakamatwa kama huyu

    Kuna software zinawekwa kwny simu kazi yk ni kutrace simu ikiibiwa na kujua mtumiaji na kila anachofanya hata ubadili line bado itakutrace tuu kuna jamaa alinunua iphone 4S mtaani(mkononi) akaanza kuitumia kumbe ile simu iliibiwa kwa kobosile wa kampuni ya simu **** simu ilikuwa imewekewa hii...
  20. mopaozi

    Naibu spika nakupongeza kwa kuwaonyesha njia

    Mda mfupi wakati akihitimisha kikao cha leo naibu spika ametoa ushauri wa jumla kwa wabunge wetu kuwa bajeti ni yao hivyo ni ajabu mbunge wa ccm kusimama na kuikosoa bajeti ya serikali yake jukumu la kwanza ni kuishauri then isipotekeleza ndo kuiadhibu na si kuanza kuipinga bajeti kabla ya...
Back
Top Bottom