Magari yanauzwa bei nafuu sana wahi

Magari yanauzwa bei nafuu sana wahi

mopaozi

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
3,300
Reaction score
525
Magari hayo hapo yako katika hali nzuri sana yanatembea. Yapo Morogoro mjini. Escudo Bei ni Tsh 6 milioni na hiyo Mark II Grande bei ni 5 milioni.
Escudo: 5 door,engine ni 4 cylinder, Automatic. Mark II ni 6 cylinder Automatic.

Maongezi yapo.

Muuzaji hatahusika kwa namna yeyote na malipo ya Dalali. Kwa mawasiliano niPM tafadhali.

attachment.php



attachment.php
 

Attachments

  • IMG-20140216-00366.jpg
    IMG-20140216-00366.jpg
    603.1 KB · Views: 1,473
  • IMG-20140216-00368.jpg
    IMG-20140216-00368.jpg
    442.1 KB · Views: 1,466
Mark 2 grande 5m???...mhh ina janga hyo,sio bure...
 
Kwa bei ulizotaja ukiangalia na hayo magari, Mh... ngoja waje wenzangu...!!!
 
Mark 2 grande 5m???...mhh ina janga hyo,sio bure...

Mkuu hebu tuambie hizo gari ni model za mwaka gani, kabla hutaongea hata hiyo bei. Maana nakumbuka hiyo Mark 2 nilikuwa nayo enzi zileee, na najua siku hizi hata barabarani ni shida kuziona.
 
Mkuu hebu tuambie hizo gari ni model za mwaka gani, kabla hutaongea hata hiyo bei. Maana nakumbuka hiyo Mark 2 nilikuwa nayo enzi zileee, na najua siku hizi hata barabarani ni shida kuziona.
Picha zinajionyesha kama uko siriaz njoo uone kwa macho
 
Back
Top Bottom