Kifaa cha kukagua walevi kufungwa bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kifaa cha kukagua walevi kufungwa bungeni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mopaozi, Aug 11, 2012.

 1. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kuna tetesi kuwa kuanzia bunge lijalo kutafungwa kifaa cha kukagua ulevi kwa wabunge kutokana na baadhi yao kuhisiwa kuwa wamelewa kwa kusinzia ovyo,kuropokaropoka,kutokutii amri za spika na kusahau sahau kanuni na taratibu za bunge hali iliyopelekea bunge kuwa kama ze komedi shoo watakaobainika kuwa wamepata kilevi watazuiwa kuingia mjengoni nawasilisha.
   
 2. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  nafikiri mtu wa kwanza kukamatwa atakua wassira...kwa jinsi alivyo mzee wa kuuchapa usingizi hatasalimika
   

  Attached Files:

 3. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mtu wa kwanza Nchemba,ila wakiongeza quality ya kipimo LUSINDE hana mpinzan
   
 4. Asterisk

  Asterisk JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukila ndizi mbivu kile kipimo hakiditect alcohol,
   
 5. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  walevi au wanywaji
   
 6. f

  filonos JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  hao hata wakiota ndoto hawana makosa tulio kosea nisisi wapiga kura tumechagua MAGARASA tumeacha watu wa kweli sababu wametoa Khanga hayo ndio kakosa ya RUSHWA za KOFIA NA FURANA tunaria nini??? tupige makofi 2
   
 7. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mtu wa kwanza ni Mbowe lazima azuiwe then Mnyika hawa jamaa lazima asubuhi wazimue viroba
   
 8. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  mada zako a heri za mtoto wa chekechea
  jukwa la MMU linakufaa zaidi
   
 9. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Taabu ya hicho KIPIMA ULEVI kinapima kiwango cha alcohol tuu! Ndungai (naibu spika) alisema kuna wabunge wengine wnaramba vitu na kuvuta sigara zisizokuwa za kawaida!

  Nina hakika huu ulevi toka vyanzo vingine visivyokuwa na alcohol hautogundulika katika mtambo wao!
   
 10. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii huyu alilala chakoni chako kwakweli
   
 11. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  hivi waliwataja hawa wala msuba majina natamani sana niwafahamu ngojaa nihisi maana.....
   
 12. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ukweli unauma siku zote na mtakoma na vilevi kifaa kinapima hadi ganja sigara kubwa na poda tuone mtapenyea wapi
   
 13. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hii ni idea ya ze comedy
   
 14. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #14
  Aug 12, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Toa hapa mada yako ya kinafki
   
 15. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,719
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  Ni kweli...kutakuwa na alcohol detector pale mlangoni mfano wa ile huwa wanapimiwa madereva.

  Nadhani itabidi wafike stage waweke ganja detector na unga detector as well!!!
   
 16. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #16
  Aug 12, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 764
  Trophy Points: 280
  Mtuhuru Aikael.
   
 17. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #17
  Aug 12, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Attached Thumbnails[​IMG]
  Huyu Mzee lazima ana DNA ya mnyama pori Jamani! Duuuh
   
 18. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #18
  Aug 12, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  mh sugu na mh wenje hawahitaji kipimo ni dhahili wanatumia sigara kubwa au wanabisha?
   
 19. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #19
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  cdhani we gamba ndo mana unawaacha kuwataja wenzako lol
   
 20. m

  msenda Member

  #20
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  DSC_0096.jpg
  hakuna matata
   
Loading...