Katibu CDM Ngorongoro ashikiliwa polisi kwa kujifanya Katibu mkuu maliasili na utalii

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
520
Katibu wa Chadema kata amekamatwa kwa kutapeli mamilioni ya fedha kwa kutumia jina la waziri wa utalii Mh Kagasheki habari kamili gazeti la habari leo leo hii ni aibu kubwa chama kuwa na viongozi majambazi,wezi na wanyang'anyi!!
 
Katibu wa ccm kata amekamatwa kwa kutapeli mamilioni ya fedha kwa kutumia jina la waziri wa utalii Mh Kagasheki habari kamili gazeti la habari leo leo hii ni aibu kubwa chama kuwa na viongozi majambazi,wezi na wanyang'anyi!!

Chama kipi sasa manake heading chadema ndani ccm tuelewe kipi?
 
Chama kipi sasa manake heading chadema ndani ccm tuelewe kipi?
ukiona hata mleta mada anajichanganya inaweza hata chanzo cha habari (Habari leo) kina mushkeri pamoja na nia ya kuleta habari yenyewe!
 
Katibu wa ccm kata amekamatwa kwa kutapeli mamilioni ya fedha kwa kutumia jina la waziri wa utalii Mh Kagasheki habari kamili gazeti la habari leo leo hii ni aibu kubwa chama kuwa na viongozi majambazi,wezi na wanyang'anyi!!

Nampongeza sana mwandishi wa hoja hii kwa kugundua kuwa viongozi wa ccm ni majambazi, wezi na wanyang'anyi.
Hii pia ni hatua maana wananchi wakilalamika kuhusu rushwa, ufisadi, mikataba mibovu ya wawekezaji, nk. huwa ccm inajifanya kuwa haioni maovu haya.
Big up mwandishi wa hoja hii kwa kuyaona hayo maovu ya ccm (ingawa kichwa cha habari kinasema Chadema). Naona sasa ccm inaelekea kuwa na mabadiliko dhidi ya maovu hayo !!!
 
Katibu wa ccm kata amekamatwa kwa kutapeli mamilioni ya fedha kwa kutumia jina la waziri wa utalii Mh Kagasheki habari kamili gazeti la habari leo leo hii ni aibu kubwa chama kuwa na viongozi majambazi,wezi na wanyang'anyi!!

Kweli kabisa, "kichwa na utumbo havifanani".
 
simtetei kama ushahidi upo adhabu kali inamsubiri
bora amejifunua mapema tukaelewa madhambi yake
chadema songeni mbele huyu ni chura ndani ya ziwa
mtashangaa CCM wanaishupalia hii habari huku wakisahau ndani ya chama chao kuna wezi wakubwa
mafisadi na wanyanganyi wengi tu na haijawachukulia hatua zaidi ya kuwaomba wavue gamba.
wasidhani wataitumia hii kukidhoofisha chadema.
 
Wanabodi
Katibu kata wa CHADEMA kata ya Enduleni Ngorongoro ameshikiliwa kituo kikuu cha polisi Arusha, baada ya mtego aliowekewa kumnasa, Katibu huyu Denis Paulo alijifanya kuwa ni Katibu mkuu wa wizara ya utalii, kisha kumpigia Mhifadhi utalii wa NCAA Bi Veronica na kumtaka atoe Mil I6, ili kumsaidia kwenye tume iliyoundwa na waziri kuchunguza ubadhirifu mkubwa kwenye mamlaka hiyo.

Baada ya mahojiano na polisi Katibu huyo amekana kujua chochote, nilikutana na Nanyaro ambaye ni mmoja wa viongozi wa CHADEMA mkoa wa Arusha, na akakiri kumwekea dhamana polisi, ni kweli huyu ni katibu wa chama kata ya enduleni, nimemdhamini kwa masharti kuwa aripoti kituoni kesho asubuhi, mazingira ya kukamatwa kwake yanatia mashaka sana,

Ukumbuke kuwa Katibu huyu alifanikisha kuhamisha zaidi ya wanachama 2800 wa CCM wakahamia CHADEMA, mapema mwaka huu, kesho nitakuwa kwenye nafasi nzuri ya kulizungumzia baada vingozi wenzangu, alisema Nanyaro
 
ccm bwana,mara kajifanya kagasheki,mara katibu mkuu ili mradi kujikosha wao sii matapeli peke yao!
 
Back
Top Bottom