Search results

  1. nsharighe

    Mdudu gani huyu?

    Nimekutana na huyu kiumbe nje ya Nyumba yangu jioni, hii namfananisha na Nungu Nungu japo Sina hakika. Mwenye ufahamu na haya maswala ya wanyama na wadudu au Kama ni ishara yeyote anijuze. Eneo naloishi si rahisi kwa kiumbe wa namna hii kuonekana, Naishi Dar Es Salaam Tabata na hakuna mapori...
  2. nsharighe

    Msaada: Chuo Cha Uongozi / Kibaha

    Wakuu Salaam Aleykum Naomba kufahamu Ni lini Chuo Cha Uongozi kilicho chini ya Chama Cha Mapinduzi kinafungua lini dirisha la usahili na namna gani ya kuomba Nafasi Chuoni hapo.. pia... Ada Aina ya Course zinafundishwa Nk Nk Ahsante
  3. nsharighe

    Pendekezo: Rais Samia mteue Bernard Membe kuwa Mkuu wa Usalama wa Taifa

    Mh Rais, Mama Yetu mpendwa, Mama mnyenyekevu na msikivu Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Bila kuchelewa, Ni maombi yangu kwako Kama Mtanzania, Naomba Umteue Bernard Camilus Membe Kuwa Director General wa Idara ya Usalama Wa Taifa ili atusaidie kurejesha nidhamu na kuunda...
  4. nsharighe

    Kijana Alawitiwa na Jini kwa Miezi Sita

    Wakuu, Kheri ya Mwaka Mpya... Hii Ni true Story, Na imetokea mtaani kwangu hapa hapa mjini Daslam, Huku mtaani kwetu bwana Kuna kaeneo wanakaita "Bagamoyo" Yani sikuwahi kujua kwanini wapaita Bagamoyo, Kumbe Ni Ushirikina ulikithiri. Hapo Bagamoyo, Kuna visa kadhaa lakini leo nakupa hiki Cha...
  5. nsharighe

    Nampenda lakini sina maisha

    Wakuu Habari za muda huu, niende moja kwa moja kwenye mada. Hii inanihusu Mimi mwenyewe na hapa Nawaza na kuwazua na sipati jibu sahihi, Nachanganyikiwa. Mimi Ni kijana mwenye miaka 26, Elimu yangu Ni kidato Cha Sita na pia nilisoma Certificate in Clearing and Forwarding, Naishi Dar kwa Wazazi...
  6. nsharighe

    Tatizo la kuwa na hofu

    Wakuu, Salaam. Niende moja kwa moja katika mada. Mimi ndugu yenu nina tatizo la kuwa na hofu katika kila jambo ninalofanya na hili tatizo linapelekea kushindwa kufanya kwa ufanisi jambo lolote lililo mbele yangu. Kipindi nikiwa Nasoma A Level mpaka Chuo nilikua nashindwa hata kufanya...
  7. nsharighe

    Uchaguzi 2020 Mgombea udiwani wa ACT Wazalendo kata ya Kinyerezi arudi CCM

    Mgombea Udiwani kupitia ACT Wazarendo kata ya Kinyerezi Ndugu Albert Nyange arudi CCM leo Tarehe 24/10/ 2020, Tukio hilo limetokea katika kampeni za lala salama za mgombea wa CCM Kata ya Kinyerezi Bi Leah Mgitu. Ndugu Nyange alipanda jukwaa la kampeni za CCM na kuwatangazia wananchi wa kata ya...
  8. nsharighe

    TANZIA Leopold Kweyamba Lwajabe amekutwa amefariki Mkuranga baada ya kupotea wiki iliyopita

    Wakuu, Habari zilitufikia hivi punde ni kwamba aliyekua mkuu wa Kitengo cha EU, Wizara ya Fedha Leopord Lwajabe Amekutwa Amefariki huko Mkuranga. Lwajabe alitekwa na watu wasiojulikana Akiwa ofisini kwake baada ya kupigiwa simu Stoke nje ya Ofisi, Walimshikilia kwa siku 3 kisha kumutelekeza...
  9. nsharighe

    Kusoma Bachelor ya Sheria kutokea Diploma

    Wakuu nawasalimu . Nina mdogo wangu ana ndoto ya kuwa mwanasheria/wakili. Baada ya kumaliza advance level mwaka jana akapata division 2 ya points 12' Lengo afanye Diploma ya sheria kisha degree. Naomba mnipe msaada wa mawazo, kwa ufaulu wake ni vyema afanye anavyotaka, na faida na hasara za...
  10. nsharighe

    Msaada: Namna ya kuhairisha masomo Chuo kikuu

    Wakuu Habari za Muda huu, Naomba kufahamu hatua za kufuata ku postpone masomo ili nisome mwakani... Ni hayo tu
  11. nsharighe

    Hernia Inguinal

    Salamu kwenu JF Doctors, Naheshimu sana uwepo wenu katika jikwaa hili na natambua mchango wenu katika idara hii ya Afya, Naomba nijikikite kwenye swala lililonileta hapa, Nina mtoto mwenye umri wa miaka 14, Kwa muda wa mwezi amepata mabadiliko katika balls(Pumbu). Badala ya kuwepo kwa zile...
  12. nsharighe

    Tetesi: Babu Seya kumrithi Captain Komba T.O.T

    Habari wanajamvi. Leo tumeshuhudia kuachiwa huru kwa Wanamuziki maarufu nchini waliokuaa wakitumikia adhabu ya kifungo cha Maisha jela baada ya kukutwa na hatia ya kubaka na kulawiti watoto. Babu Seya na mwanae Papii Kocha kwa msamaha wa Rais Magufuli leo wapo huru, Habari nilizonazo kutoka...
  13. nsharighe

    Alama za ufaulu Advanced level

    Wakuu, bila kupoteza muda, Kwanza niwasalimu na niwape pole na mihangaiko ya siku nzima. Nia ya huu uzi ni kutaka kufahamishwa ni zipi alama za ufaulu kwa kidato cha sita ambazo ni current. Asanteni
  14. nsharighe

    Uvccm ndio makarai, Ushahidi upo

    Tanzania oyeee Katika usajili unaoendelea wa dirisha dogo katika vyama vya siasa ngoma inogile, Tumeshuhudia usajili wa Kiungo mkabaji Razalo Nyalandu toka Ccm kwenda Chadema, pia usajli kabambe kushinda ule wa Manchester city ya Uingereza na PSG ya Paris ambapo washambuliaji toka Act na...
  15. nsharighe

    Msaada wakuu: Uvimbe kwenye kizazi

    Poleni Sana kwa majukumu ya kujenga Taifa.. Mzazi wangu Wa kike (Mama) umri kiaka 50s anasumbuliwa na uvimbe kwenye kizazi according to vipimo vya madakari. Aliandikiwa dawa na anakaribia kuzimaliza, hofu ni kwamba tumbo lake linavimba na anasikia vichomi. Nawaomba wakuu, Mnipe ushauri Wa...
  16. nsharighe

    Mpenzi wangu kanitambulisha mume wake mtarajiwa

    Wakuu habari za muda huh... Bila kupoteza time, Nina mpenzi wangu ambae nimedumu nae kwa muda Wa mwaka mmoja sasa, wiki kadhaa zilizopita aliniaga anaenda Arusha amepata kazi katika hotel ya kitalii Ila Jana kanitumia picha WhatsApp akiwa na jamaa mwengine na kunitambulidha kuwa ni mume wake...
  17. nsharighe

    Kiwanja Kinauzwa Kinyerezi

    Rejea kichwa cha Habari hapo juu, kiwanja kizuri kipo maeneo ya tabata kinyerezi, Mbuyuni. Kipo eneo zuri na mazingira ya kuvutia.... Kina mapana ya mita 61 kwa 31.... Kwa maelezo zaidi na bei piga namba 0672211719 0716831663 0763141427
  18. nsharighe

    Hatimae Yametimia

    Wataalamu wa mambo hii tunaitaje? Kutimia kwa unabii ama?
  19. nsharighe

    Yupo wapi Mungu Yule wa zamani!!?

    Natanguliza salam, Bila Kumkwaza yeyote kwa imani yake, uwe mkristu, muislam ama mpagani, Naomba kujua yupo wapi Yule Mungu wa kabla wakoloni kuja kututawala Afrika, hapo kale wa Afrika tulikua imani zetu, ibada zetu na shughuri zetu za kiuchumi, Kisiasa na kijamii. Tulipokua katika taabu za...
  20. nsharighe

    Msaada kuhusu Chuo cha Diplomasia

    Amani iwe daima nanyi.. Naomba mwenye uelewa kuhusu hiki Chuo cha diplomasia, join instruction na aina ya kozi wanazotoa pamoja na muda wa kozi na ada zao. Nawasilisha.
Back
Top Bottom