nsharighe
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 1,441
- 2,218
Natanguliza salam,
Bila Kumkwaza yeyote kwa imani yake, uwe mkristu, muislam ama mpagani,
Naomba kujua yupo wapi Yule Mungu wa kabla wakoloni kuja kututawala Afrika, hapo kale wa Afrika tulikua imani zetu, ibada zetu na shughuri zetu za kiuchumi, Kisiasa na kijamii.
Tulipokua katika taabu za maradhi, ukame, njaa nk, tulienda kuomba katika yale maeneo tulikoamini kuwa ndipo miungu yetu ilipo, Maeneo kama Miti mikubwa(mibuyu), makabuli ya mababu zetu nk.
Tuliomba katika Maeneo hayo na tulipata majibu ya maombi yetu punde baada ya kuomba.
Naamini uwepo wa Mungu lakini siamini kama huyu tunaemuomba kupitia dini tulizoletewa na wazungu na waarabu ni yule alikua kipindi cha kabla ya wakoloni kuja Afrika.
Je kwa mitazamo ya bila kunukuu vitabu tulivyoletewa Mungu huyu wa karne hii ni yule wa kabla ya ukoloni ama wa Afrika Tumekengeuka?